Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mwenye mkeka wa Halmashauri manispaa ya Kigoma/Ujiji anisaidie wakuu nipo mbali kidogo na mji please.
 
Naomba kuuliza....hiv huko kwenye semina ni go and return au kuna kulala wakuu???

Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
 
Hivi , semina ya sensa halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini inafanyikia wapi ,
 
Duuuu
Ivhi ni kweli wamebadilisha siku ya semina hawa jamaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…