Nafkir nch nzima, hata uku wamebadilSjajua kuna halimashaur mbili busega na huko mara zimethibitisha
Ni kweli, had tar 31Duuuu
Ivhi ni kweli wamebadilisha siku ya semina hawa jamaa??
Mwanangu amemaliza UDOMU na alijiandikisha Mkonze kwenye mtandao. Walipoitwa kwenye usaili walikuwepo walimu zaidi ya kumi na waliambiwa wafanyiwe usairi kwanza sababu wanaenda kazini. Watu walikataa hivyo wote wakasubiri majina yao kuitwa.
Usiombe ukaliwa na mamba wa river Nile waliovu
Prideta 🤣🤣🤣Usiombe ukaliwa na mamba wa river Nile waliovurugwa
Upo kata gn?Hivi , semina ya sensa halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini inafanyikia wapi ,
Ni taarfa ya uhakika, binafs nimepgiw cmu na mtendaj pia nipo sehem husika itakayfanyka semina kwa uku niliko hakuna maandalz ya kuanz semina keshoHapo kunachomgo hapo.....umaeza usitokee kesho ikala kwako...
Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
Hakuna semina Kesho hyo ni official newsHapo kunachomgo hapo.....umaeza usitokee kesho ikala kwako...
Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
Ndio waliokuwezesha leo hii unaandika hizi pumba angalau....
Aluta continua ya umaskiniMliopata hongereni nawatakia kazi njema,tuliokosa basi tushukuru haikua ridhiki yetu, Aluta continua😹
Kama vipi nenda kesho ata saa nne ivi ukikuta hamna watu si unarudi tu ni heri ukaprove ka una wasi wasiHuo waraka unaosambaa, mbona hauna saini?.