Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mwanangu amemaliza UDOMU na alijiandikisha Mkonze kwenye mtandao. Walipoitwa kwenye usaili walikuwepo walimu zaidi ya kumi na waliambiwa wafanyiwe usairi kwanza sababu wanaenda kazini. Watu walikataa hivyo wote wakasubiri majina yao kuitwa.

Leo majina yametoka karibu wote ni walimu wengine hawaishi mkonze na wala hawakufika kujiandikisha. Wakazi wa mkonze kama mwanangu amemaliza chuo na yupo mtaani kaachwa.

Je kuweka kwenye mtandao ilikuwa danganya toto? Msimamizi wa kituo ni mwalimu mkuu wa Mkonze wasaidizi wake ni walimu je ulitegemea nini. Walimu wengine wametoka shule nyingine siyo za Mkonze.
 

Attachments

  • IMG-20220728-WA0008.jpg
    IMG-20220728-WA0008.jpg
    30.7 KB · Views: 8
Back
Top Bottom