Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

tatizo la vijana wa kisasa hawatizami TBC,UNAINGIA KUFANYA KAZI ZA KITAIFA ANGALIENI TBC BANAAA
 
Hapa tumepigwa na kitu kizito. Vigezo walisema ni kwa wasio na ajira ila hapa... Mh!
Poleni sana vijana mimi pia ni mtumishi sijaomba hizi kazi ni aibu kwakweli nimesikitishwa na kitendo cha watumishi wenzangu kupewa hizi nafasi .bado hazitawasaidia wataendelea kuwa mafukara hasa wale washika Chaki

Poleni sana mtapata bora kuliko hizo sensa zao vijana wangu jobless mliokosa
 
Hapa tumepigwa na kitu kizito. Vigezo walisema ni kwa wasio na ajira ila hapa... Mh!
Nchi la kipumbavu sana hili.. wasio na Ajira wameomba walau hicho kingepatikana wangejiwekea misingi Cha ajabu anapewa ambae yupo kwenye mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…