Katalama
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 854
- 1,476
Kama vipi nenda kesho ata saa nne ivi ukikuta hamna watu si unarudi tu ni heri ukaprove ka una wasi wasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vipi nenda kesho ata saa nne ivi ukikuta hamna watu si unarudi tu ni heri ukaprove ka una wasi wasi
Ongeeni hata na watendaji , mmekalia waraka wa mwaka 47 , ratiba imebadilishwa kama vip nendeni mkajihakikishie wengine wametumiwa SMS mafunzo yanaanaza jpili ,
Nimeenda huko akuna kitu Kama hiiNBS website haipo hii kitu jombaa
NBS website haipo hii kitu jombaa
Nbs website mara ya mwisho kutoa update za Sensa ilikuwa mwez sjui wa tano, pitieni instagram page ya NBS mtaikuta na vyombo vya habar vimerusha nyie viaz wa tandahimbaNimeenda huko akuna kitu Kama hii
Wamakonde tumikukosea nini nkuu..!?Nbs website mara ya mwisho kutoa update za Sensa ilikuwa mwez sjui wa tano, pitieni instagram page ya NBS mtaikuta na vyombo vya habar vimerusha nyie viaz wa tandahimba
Mbona huo walaka nembo ya taifa imekatwa vichwa na ni black and white hata nembo ya sensatatizo la vijana wa kisasa hawatizami TBC,UNAINGIA KUFANYA KAZI ZA KITAIFA ANGALIENI TBC BANAAA
Acha ujinga walimu ni washenziNdio waliokuwezesha leo hii unaandika hizi pumba angalau....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Malipo kwa siku ni Kiasi ganiiWalipeni pesa inayostahili... Msichakachue
Hpna bwana, ni elfu tano
Huu mwezi si unaishia tar 30Tarehe ya semina imebadilishwa tena mpak tareh 31 duuh
Poleni sana vijana mimi pia ni mtumishi sijaomba hizi kazi ni aibu kwakweli nimesikitishwa na kitendo cha watumishi wenzangu kupewa hizi nafasi .bado hazitawasaidia wataendelea kuwa mafukara hasa wale washika ChakiHapa tumepigwa na kitu kizito. Vigezo walisema ni kwa wasio na ajira ila hapa... Mh!
Nchi la kipumbavu sana hili.. wasio na Ajira wameomba walau hicho kingepatikana wangejiwekea misingi Cha ajabu anapewa ambae yupo kwenye mfumoHapa tumepigwa na kitu kizito. Vigezo walisema ni kwa wasio na ajira ila hapa... Mh!