Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Huwa wanatoa Kwa Awamu, Mfano siku ya kwanza ya Semina wanaweza wakatoa Hela yote ya Semina Kwa wiki ya Kwanza, then wiki ya pili pia mkapewa Hela yote ya siku mtakazo hudhuria Kwa wiki hiyo
Sasa wakipitishia BENK kama wanavyosem c mtonyo utakuwa unakatwa ya kutolea kila wiki
 
Unajiona mjanja kwa kupita huko instagram! Wenzio wameshapangiwa rooms kwa idadi kamili. Ujuaji mwingi mbele kiza
Labda huko wilayani kwenu namtumbo official semina zinaanza tareh 31 , na watendaji wametuma SMS , nyie wa kwenye madarasa ya chooni ndo mmeanza leo
 
Hivi wilaya ya Temeke watu wameitwa kwa style gani mbona mpaka sasa nipo njia panda
 
Wewe endelea kushikiwa masikio. Naona mmeshindwa kung’amua. Mafunzo rasmi 31 leo watu wamepangwa na wanatakiwa kurudi tarehe 31. Au wewe ulitaka tarehe 31 upangwe/upewe utangulizi/mafunzo siku hiyohiyoo!?
Ni huko kwenu pa hovyo hovyo huku kwetu unaenda semina kila kitu kishapangwa,rafik kaenda leo kamkuta mlinzi wa shule kamwambia semina jpili tarehe 31
 
Ni huko kwenu pa hovyo hovyo huku kwetu unaenda semina kila kitu kishapangwa,rafik kaenda leo kamkuta mlinzi wa shule kamwambia semina jpili tarehe 31
Achana nae huyo.....tena kwao hovyo hvyo kwelikweli
 
Wewe endelea kushikiwa masikio. Naona mmeshindwa kung’amua. Mafunzo rasmi 31 leo watu wamepangwa na wanatakiwa kurudi tarehe 31. Au wewe ulitaka tarehe 31 upangwe/upewe utangulizi/mafunzo siku hiyohiyoo!?
Usidanganye watu bhana
 
Sasa wakipitishia BENK kama wanavyosem c mtonyo utakuwa unakatwa ya kutolea kila wiki
Tetesi za Kulipa Kwa Benki inaweza kuwa kweli kwasababu Pesa ni nyingi sana, tofauti na Ajira nyngn za muda kama Uchaguzi.

Kama wakilipa Kwa Benk Kwa uzoefu wangu Huwa wanaweka na ya kutolea. Mfano mzuri ni kama Watumishi wale wanaoenda kutoa Mafunzo ya Ujasiriamali au Uhamasishaji/ TASAF nk. Huwa sometimes Hela wanawekewa Kwenye account za Simu na wanapewa na ya kutolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…