Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nimeamka nimekutana na mkeka wa Temeke, moja kwa moja nikatype jina langu nimelikuta kama MSIMAMIZI WA MAUDHUI.

Jobless naenda kupata mtaji hapa.

AL HAMDU LILLAH. . !

Nimeamka nimekutana na mkeka wa Temeke, moja kwa moja nikatype jina langu nimelikuta kama MSIMAMIZI WA MAUDHUI.

Jobless naenda kupata mtaji hapa.

AL HAMDU LILLAH. . !
Typying error maana makarani wote mmekua wasimamizi wa maudhui
 
Typying error maana makarani wote mmekua wasimamizi wa maudhui
TUSIRUHUSU NJAA ZETU ZILIZO TUMBONI ZIKAHAMIA KICHWANI.

Niandike mimi uje unisahihishe wewe kama nani?

Mimi ni jobless na nimechaguliwa kuwa MSIMAMIZI WA MAUDHUI
 
MATOKEO YASHATOKA NAONA GROUP LINATAKA KUFA KABISAAA ,MAANA TOKEA MWEZI WA 5 TULIKUA PAMOJA NA UCHANGIAJI ULIKUA MKUBWA SANAAA LAKN SAHV KUMEPOA SANAA,WALIOKOSA JAMANI MSIKATE TAMAAA YOTEE KHERI TU PIA KUNA NAFASI ZA RESERVE MSIKOSE KUZIVIZIA KATANI AU KWENYE SEMINA.
 
Huna lolote,umeomba then umepigwa chini sasa hapo roho inakuuma......[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Ramli vipi wakuu za malipo maana hi Kaz wengi mmepata nondo humu za usaili
 
Huna lolote,umeomba then umepigwa chini sasa hapo roho inakuuma......[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwahyo kuonyesha huruma yangu na kuwatetea hawa vijana jobless ni mpaka niwe nimeomba nimekatwa? Nimeshindwa kuielewa hii komenti yako

Yaani mtu akitoa maoni Mnapenda ku assume tu mwanamke akitetea single Maza ataitwa single Maza ukiwa against lazima mtumie personal attack ..grow up na bado naona emoji za kucheka japo ni inaleta ukakasi mwanaume kucheka cheka unazitumia kipi kinafurahisha mkuu embu tuambie tucheke wote humu ndani ?

Sio kama mimi ni msaliti hapana najua nilipotoka watumishi tumezidi tamaa siku mkiwa na vijana jobless mtaelewa namaanisha nini
 
Huna lolote,umeomba then umepigwa chini sasa hapo roho inakuuma......[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mna roho mbaya sana haiwezekani mkeka wetu jobless tupo wanaume wawili wote ni watumishi tena wanawake ni wengi

Lazima tuwagongee wake na dada zenu tutatengeneza mazingira kipindi cha semina [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Watumishi waelewe mpo [emoji120][emoji120][emoji120]

Nilijua wote ni wangeserema
 
Kata yetu wamebadili majina tena, kutoka 282 hadi 162, kuna watu majina yao hayakuepo awali ila mkeka mpya wamo.
Mmmmh inawezekanaje hyo!! Au mkeka wa mwanzo ulikuwa wa usahili we ndo umejichanganya.
 
Mna roho mbaya sana haiwezekani mkeka wetu jobless tupo wanaume wawili wote ni watumishi tena wanawake ni wengi

Lazima tuwagongee wake na dada zenu tutatengeneza mazingira kipindi cha semina [emoji39][emoji39][emoji39]
hahahahaha utakula tunda kimasihara kunguru wa manzese ,sema umepotea sanaa kiongozi au mshaitwa interview dodoma?
 
Mmmmh inawezekanaje hyo!! Au mkeka wa mwanzo ulikuwa wa usahili we ndo umejichanganya.
Nimejichanganya vipi? Usaili tulikua 566, baada ya usaili Mkeka ukatoka na watu 200+, tarehe 29 usiku wakabandika mwingine, wengine wameondolewa, kuna watu walikosa mwanzo ila wakaonekana wamepata. Idadi imepungua hasi 160+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…