Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Umekaa venue haijaandikwa jina kwani?Hadi najihisi nimekosea venue
Tupia hata Ka picha bas mkuu kunogesha point , alaf hyo misosi hauwez kufanyika ufisadi wa kuwakata parefu kweliWakuu nipo hapa Temeke Dice naona katika sensa misosi niyanguvu maandalizi Ni mazuri lazima nitoke shavu
Mama Anaupiga Mwingi To be honest.
Tupia hata Ka picha bas mkuu kunogesha point , alaf hyo misosi hauwez kufanyika ufisadi wa kuwakata parefu kweli
Wap uko???Jaman mbona semina wamejaa sana wanawake
Pembeni niko na mdada mwalimu wa msingi lazima nichukue nambaJaman mbona semina wamejaa sana wanawake
Bado .hapa nawaza chai na cha mchana chaoVipi mmeshaanza kulipwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bado .hapa nawaza chai na cha mchana chao
Ghetto nitakuwa na bajeti ya usiku tu [emoji16]
Ebu fafanua.Wakuu uku. Malipo 40000 pamoja na msosi per day elfu 5000 apo kuna mzabuni kwa siku kumi kwa karani
Nikipata mimi inatosha hao wengine watajijua [emoji16]Alafu chai mbona kidogo Sana?
Aluta continua comradePembeni niko na mdada mwalimu wa msingi lazima nichukue namba
Lazima nipige kwa niaba ya majobless wote [emoji16]
No matumizi ya vishikwambi mkuu nikipata mda nitaeleza zaidiEbu fafanua.
5k inakatwa kwenye 40k au jumla ni 45kWakuu uku. Malipo 40000 pamoja na msosi per day elfu 5000 apo kuna mzabuni kwa siku kumi kwa karani
Hajaeleweka hata kidogo5k inakatwa kwenye 40k au jumla ni 45k