Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wakuu nipo hapa Temeke Dice naona katika sensa misosi niyanguvu maandalizi Ni mazuri lazima nitoke shavu

Mama Anaupiga Mwingi To be honest.
Tupia hata Ka picha bas mkuu kunogesha point , alaf hyo misosi hauwez kufanyika ufisadi wa kuwakata parefu kweli
 
Ni wil
16592614134011612442887592179538.jpg
 
Back
Top Bottom