Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Umetengeneza tatizo kichwani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna field nje ya Siku 19 za mafunzo field ni ndani ya Siku 19 za mafunzo [emoji16][emoji16] ratiba inasomeka kwamba

ijumaa ya tarehe 12 August 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani (ndio field yenyewe )

Jumatatu tarehe 15 august 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani kuhoji dodoso la majengo (field hiyo)

Mwisho wa mafunzo kwa makarani ambao hawatashiriki dodoso la jamii ni tarehe 15 August 22

Makarani watakaoshiriki dodoso la jamii wataenda uwandani alihamisi ya tarehe18 august 22

Kila karani anatakiwa kuhesabu kaya 25 kwa Siku kwa hiyo itategemea na EA yako, ikiwa EA yako itakuwa na kaya 150 zoezi litachukua Siku 6 kukamilika
 
Wewe kama siyo mzalendo huwezi fanya hii kazi,uzalendo kwanza kazi iendelee,kazi iendelee uzalendo kwanza
 
Mafunzo yameanza 31 mpaka 18 jumla siku 19 Γ— 40,000 760k pamoja na siku 6 za sensa 6Γ—40=240k Jumla 1m (inasemekena kutakuwa na siku 3 za majaribio field sina uhakika)
Siku sita za kuhesabu posho ilikuwa 100000 , ikashushwa mpak 80000 , jamaa watatoka na hela nzuri , vijana mliopata itumieni vyema
 
Sidhani kama ni kweli.Ila binafsi ni msimamizi wa IT sasa wakitukatisha mafunzo wakienda huko field watapambana wenyewe na vishikwambi [emoji3]
 
Naomba kuuliza wanaoishia tar 15 je wataendelea kulipwa posho kuelekea sensa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…