Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Posho 40 per day for 16 days dodoso lina maswali 100 kwa kila mwanakaya unaenda kumuhoji mwanakaya ambae ana uchungu ameongezewa mshahara wa 10,000 kwa kipindi cha miaka 6 wananchi ambao petrol inazidi kupanda na kuleta hali duni

Huo mda unamuhoji maswali 100 kwa kila mwanakaya unamlipa [emoji16][emoji16][emoji16]

Alafu kwa posho gani Mara uanze kukagua vyeti kama viko sahihi afisa karani unageuka afisa usalama na afisa Rita kwa posho ya 40k

Hili zoezi litakuwa LA ovyo sana
Umetengeneza tatizo kichwani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna field nje ya Siku 19 za mafunzo field ni ndani ya Siku 19 za mafunzo [emoji16][emoji16] ratiba inasomeka kwamba

ijumaa ya tarehe 12 August 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani (ndio field yenyewe )

Jumatatu tarehe 15 august 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani kuhoji dodoso la majengo (field hiyo)

Mwisho wa mafunzo kwa makarani ambao hawatashiriki dodoso la jamii ni tarehe 15 August 22

Makarani watakaoshiriki dodoso la jamii wataenda uwandani alihamisi ya tarehe18 august 22

Kila karani anatakiwa kuhesabu kaya 25 kwa Siku kwa hiyo itategemea na EA yako, ikiwa EA yako itakuwa na kaya 150 zoezi litachukua Siku 6 kukamilika
 
Posho 40 per day for 16 days dodoso lina maswali 100 kwa kila mwanakaya unaenda kumuhoji mwanakaya ambae ana uchungu ameongezewa mshahara wa 10,000 kwa kipindi cha miaka 6 wananchi ambao petrol inazidi kupanda na kuleta hali duni

Huo mda unamuhoji maswali 100 kwa kila mwanakaya unamlipa [emoji16][emoji16][emoji16]

Alafu kwa posho gani Mara uanze kukagua vyeti kama viko sahihi afisa karani unageuka afisa usalama na afisa Rita kwa posho ya 40k

Hili zoezi litakuwa LA ovyo sana
Wewe kama siyo mzalendo huwezi fanya hii kazi,uzalendo kwanza kazi iendelee,kazi iendelee uzalendo kwanza
 
Hakuna field nje ya Siku 19 za mafunzo field ni ndani ya Siku 19 za mafunzo [emoji16][emoji16] ratiba inasomeka kwamba

ijumaa ya tarehe 12 August 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani (ndio field yenyewe )

Jumatatu tarehe 15 august 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani kuhoji dodoso la majengo (field hiyo)

Mwisho wa mafunzo kwa makarani ambao hawatashiriki dodoso la jamii ni tarehe 15 August 22

Makarani watakaoshiriki dodoso la jamii wataenda uwandani alihamisi ya tarehe18 august 22

Kila karani anatakiwa kuhesabu kaya 25 kwa Siku kwa hiyo itategemea na EA yako, ikiwa EA yako itakuwa na kaya 150 zoezi litachukua Siku 6 kukamilika
Sidhani kama ni kweli.Ila binafsi ni msimamizi wa IT sasa wakitukatisha mafunzo wakienda huko field watapambana wenyewe na vishikwambi [emoji3]
 
Hakuna field nje ya Siku 19 za mafunzo field ni ndani ya Siku 19 za mafunzo [emoji16][emoji16] ratiba inasomeka kwamba

ijumaa ya tarehe 12 August 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani (ndio field yenyewe )

Jumatatu tarehe 15 august 22 saa moja na nusu mpaka saa nane na nusu mazoezi uwandani kuhoji dodoso la majengo (field hiyo)

Mwisho wa mafunzo kwa makarani ambao hawatashiriki dodoso la jamii ni tarehe 15 August 22

Makarani watakaoshiriki dodoso la jamii wataenda uwandani alihamisi ya tarehe18 august 22

Kila karani anatakiwa kuhesabu kaya 25 kwa Siku kwa hiyo itategemea na EA yako, ikiwa EA yako itakuwa na kaya 150 zoezi litachukua Siku 6 kukamilika
Naomba kuuliza wanaoishia tar 15 je wataendelea kulipwa posho kuelekea sensa
 
Back
Top Bottom