Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

ili zoezi ni gumu kuanza kumhoji mtu maswali100 mmh walitakiwa wachukue taarifa muhimu tu ,
Jina,umri,jinsia,alama za dole,au picha,
the rest izo dodoso sijui unatembeaje unalalaje, unashab

Kwa sababu wote ni wapishi wa tukio la Sensa
Hata kama ni tehama lazima ujue basics za sensa jombaa na kwa sababu unaenda msaidia karani,huwezi kumsaidia karani bila kujua mageresho jombaaa
 
Kwa hiyo uvccm ☘️☘️ waki disco
Wata andika Ile barua ya SIRI Tena🤣🤣😂
 
Morodo iride vifo vitokanavyo na uzazi ni kwa kipindi gani
Tofauti kati ya ulemavu wa akili na ulemavu wa afya ya akili
Umuhimu wa matumizi ya ramani katika zoezi
Dodoso la sensa ya watu na makazi lina sehemu ngapi
 
na kesho tunalipwa hela jiandaeni na pepa pia na malipo ya posho ni kesho kwahiyo wala msijari.
TUUTANGULIZE UZALENDO KWANZA.
KAZI HII NI YA KIZALENDO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…