DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Bado nasikia eti wana hakiki majina kwanzaHivi ,huko ulipo mnapewa posho ya semina au bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nasikia eti wana hakiki majina kwanzaHivi ,huko ulipo mnapewa posho ya semina au bado?
ili zoezi ni gumu kuanza kumhoji mtu maswali100 mmh walitakiwa wachukue taarifa muhimu tu ,
Jina,umri,jinsia,alama za dole,au picha,
the rest izo dodoso sijui unatembeaje unalalaje, unashab
Hata kama ni tehama lazima ujue basics za sensa jombaa na kwa sababu unaenda msaidia karani,huwezi kumsaidia karani bila kujua mageresho jombaaaKwa sababu wote ni wapishi wa tukio la Sensa
Matema mzigo umesoma dakika hiiWadau,mbona halmashauri ya wilaya mbarali hawatoi posho? Kila kitu unajigharamia ,yani nauli mpk chakula
Wamelipa ya siku ngapi?Matema mzigo umesoma dakika hii
Tutumie mkuu Acha ubinafsiNauza maswali ya kesho wadau
Hahahaaa leta vitu mzee Matata Kipepeo JunguNauza maswali ya kesho wadau
4444 tshs per hour🤣🤣🤣
Sio mbaya, Sio mbaya, 4444 × 171 =759,000 ,, + 30000 unapata milioni ,sio haba mzee, milioni ndani ya siku 26.4444 tshs per hour🤣🤣🤣
Hongera mkuu🤣Sio mbaya, Sio mbaya, 4444 × 171 =759,000 ,, + 30000 unapata milioni ,sio haba mzee, milioni ndani ya siku 26.
Nazingua tu sina maswali bt wawezeshaj wenyew hawajui bt Kesho tasco na ISIC lazima ziwepo twenden tukameze hapoHahahaaa leta vitu mzee Matata Kipepeo Jungu
Wakitoa hapa nimekwishaNazingua tu sina maswali bt wawezeshaj wenyew hawajui bt Kesho tasco na ISIC lazima ziwepo twenden tukameze hapo
Kwa hiyo kuna walimu wata disco kwenye hii seminaWakitoa hapa nimekwisha
Bila Shaka wewe uvccm ☘️☘️ nauta discoNauza maswali ya kesho wadau
Tehtehteh mkuu ondoa shaka ka test kadogo sanaWakitoa hapa nimekwisha