Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ndio maana hizi nafasi ziliwafaa maticha Hawa jobless wavaa milegezo wanavyoa viduku na wasuka virasta wachafu wachafu ni tatizo.

Siku nyingine NBS toa majina huko huko juu wapeni maticha na watumishi wa kada zingine huko halmshauri

Hizi mambo za kuleta majina katani ni upumbavu wameweka wavuta bangi wao,wanywa viroba wao ambao kwanza sio wakazi wa maeneo wanayoenda fanyia hizo kazi.

Inasikitisha sana
Cannabis Kuna Mtu huku kaigusa bangi
 
Na bado unaumia ukiwa wapi na uhakika 100% ata ukiniweka apa kwa kazi ya kipuuzi uliyopata kwa kujuana huna kitu kichwani
 
Leo nbs wamewapga chenga ya mwili yan watu Jana walikesha kumeza mambo bt paper imekuja wala huamini sema jamaa nimependa usiri wao juu ya hili wapo siriaz na haya mambo
 
Ndio maana hizi nafasi ziliwafaa maticha Hawa jobless wavaa milegezo wanavyoa viduku na wasuka virasta wachafu wachafu ni tatizo.

Siku nyingine NBS toa majina huko huko juu wapeni maticha na watumishi wa kada zingine huko halmshauri

Hizi mambo za kuleta majina katani ni upumbavu wameweka wavuta bangi wao,wanywa viroba wao ambao kwanza sio wakazi wa maeneo wanayoenda fanyia hizo kazi.

Inasikitisha sana
Jiweke wewe basi [emoji28][emoji28] wivu wa kingese huo
 
vijana mumekua watu wa ovyo sana yni huwezi kunyamaza kila kitu unatupia mtandaoni ivi we kweli utawahi kutunza siri ww?
Uliwahi kusikia wakufunzi wa sensa wakielezea mafundisho yao huku mitandaoni?

vijana tunazingua tuwe na koromeo kidogo
Yote tisa,10 huu ni utoto sana, mkuu kama ulivyosema , vijana muda mwngne hawaaminiki kwa mambo kamq haya,
 
Unaondolewaje wakati idadi iliyotakiwa na NBS ndio iliyochukuliwa kwenda kwenye mafunzo? Ukifeli unarekebishwa Tu,mambo hayako magumu ivo
Basi kama ndio hivyo hizo nafasi wangepewa graduate tu, uwezo wa kufikiri na kushika mambo hauwezi uwa sawa kati ya Form IV na GRADUATE.
 
NBS wenyewe wanaona ni sawa ndio maana mtihani uko mmoja Tu Kwa level zote za elimu.Kikubwa ni kujua kusoma na kuandika,pamoja na uwezo wa kutumia simu janja.
 
Unaondolewaje wakati idadi iliyotakiwa na NBS ndio iliyochukuliwa kwenda kwenye mafunzo? Ukifeli unarekebishwa Tu,mambo hayako magumu ivo
Mbona sisi tunatishwa huku kwamba ukifeli unaliwa kichwa yaan unaondolewa

Wanasema msijidanganye kuna watu wengi tu rezevu wataletwa
 
Back
Top Bottom