Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Mbona mtihani ulikuwa wa kawaida kiasi kwamba ata mtoto wa shule ya msingi mwenye uelewa mzuri anaweza kujibu na akapata 50/50 mkuuBasi kama ndio hivyo hizo nafasi wangepewa graduate tu, uwezo wa kufikiri na kushika mambo hauwezi uwa sawa kati ya Form IV na GRADUATE.