Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.

Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
 
Inasikitisha sana,,, mnafanyia mafunzo Kijiji/kata gani huko...
 
Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.

Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
Aisee,Rip karani.Mkipata izo ela msitangaze jamani,mtaani kugumu,yaweza kuwa mwamba katangulizwa wakidhani ana mamilioni ya semina.All in all njia yetu ni moja.
 
Back
Top Bottom