Kumbuka kuandika angalau maneno mawili kwa TASCO na ISIC.1.Tasco.....ni kazi ya mtu ambayo anafanya....mfano matata n mlinzi katika ofisi ya takwimu.
2.Isic.....ni shughuli kuu ifanyayo sehemu ya kazi....mfano matata shuguli kuzi sehumu anapofanyia kazi n takwimu.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
38kWamelipa ya siku ngapi?
Mnapigwa!??Ngoja tujionee Maajabu maana 40k kwa karani kupewa hiyo duu!!! It pain
Huko ngazi ya Taifa watu wamepata Hadi 200k+
Acha utani na mambo ya kitaifa id fake sio kinga.Nauza maswali ya kesho wadau
Subiri utakapokula kiapo sasa...Hii kazi ni ngumu najuta aisee
Yote tisa hela wanatoa lini?Tawile paper imeisha
Bw. Shughuli mingi
Bi. Masiku mengi sana
Siwezi shughuli mingi
Safari njema
Mtoto wa safari njema wendako
Sichoki kazi ngumu
Tawile tawile na mwendo wa mageresho
Mi mkeka wangu ukitiki nasepa sijali nimekula kiapo au laa [emoji3]Subiri utakapokula kiapo sasa...
Jitoe mapema..
Baada ya kiapo you are entitled to and abide by laws...jela njenje..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]... Natania mkuu.. ila ni serious.
Hela kuna baadhi ya wilaya wametoa janaYote tisa hela wanatoa lini?
Kwahiyo unataka kutuambia kujiachia kote humu JF wanaweza kutuuza na kujulikana Hadi Taifani na kuchukuliawa Hatua..?Acha utani na mambo ya kitaifa id fake sio kinga.
vijana mumekua watu wa ovyo sana yni huwezi kunyamaza kila kitu unatupia mtandaoni ivi we kweli utawahi kutunza siri ww?Tawile paper imeisha
Bw. Shughuli mingi
Bi. Masiku mengi sana
Siwezi shughuli mingi
Safari njema
Mtoto wa safari njema wendako
Sichoki kazi ngumu
Tawile tawile na mwendo wa mageresho
Ni mimihemko ya kipumbavu na utoto mwingi, kuna mmoja kama huyo huku nilipo leo ni rasmi wamemfungashia virago vyake. Kosa ni kupiga pichavijana mumekua watu wa ovyo sana yni huwezi kunyamaza kila kitu unatupia mtandaoni ivi we kweli utawahi kutunza siri ww?
Uliwahi kusikia wakufunzi wa sensa wakielezea mafundisho yao huku mitandaoni?
vijana tunazingua tuwe na koromeo kidogo
Hii 30,000 hapa ni ya nn?Sio mbaya, Sio mbaya, 4444 × 171 =759,000 ,, + 30000 unapata milioni ,sio haba mzee, milioni ndani ya siku 26.
Duh mbona hatari hiiNi mimihemko ya kipumbavu na utoto mwingi, kuna mmoja kama huyo huku nilipo leo ni rasmi wamemfungashia virago vyake. Kosa ni kupiga picha
Naongezea na Ushamba. Vijana sijui tuna matatizo gani aaarghNi mimihemko ya kipumbavu na utoto mwingi, kuna mmoja kama huyo huku nilipo leo ni rasmi wamemfungashia virago vyake. Kosa ni kupiga picha
Tupo kidawaWazalendo mupo
Ndio maana hizi nafasi ziliwafaa maticha Hawa jobless wavaa milegezo wanavyoa viduku na wasuka virasta wachafu wachafu ni tatizo.Ni mimihemko ya kipumbavu na utoto mwingi, kuna mmoja kama huyo huku nilipo leo ni rasmi wamemfungashia virago vyake. Kosa ni kupiga picha