Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

1.Tasco.....ni kazi ya mtu ambayo anafanya....mfano matata n mlinzi katika ofisi ya takwimu.

2.Isic.....ni shughuli kuu ifanyayo sehemu ya kazi....mfano matata shuguli kuzi sehumu anapofanyia kazi n takwimu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Tawile paper imeisha

Bw. Shughuli mingi
Bi. Masiku mengi sana
Siwezi shughuli mingi
Safari njema
Mtoto wa safari njema wendako
Sichoki kazi ngumu

Tawile tawile na mwendo wa mageresho
vijana mumekua watu wa ovyo sana yni huwezi kunyamaza kila kitu unatupia mtandaoni ivi we kweli utawahi kutunza siri ww?
Uliwahi kusikia wakufunzi wa sensa wakielezea mafundisho yao huku mitandaoni?

vijana tunazingua tuwe na koromeo kidogo
 
Ni mimihemko ya kipumbavu na utoto mwingi, kuna mmoja kama huyo huku nilipo leo ni rasmi wamemfungashia virago vyake. Kosa ni kupiga picha
 
Ni mimihemko ya kipumbavu na utoto mwingi, kuna mmoja kama huyo huku nilipo leo ni rasmi wamemfungashia virago vyake. Kosa ni kupiga picha
Duh mbona hatari hii
M nafuata maelezo bhna
Vijana wamekua wahovyo sanaa kitu kidgo tu hana koromeo
Sasa apo ataweza kweli kutunza Siri za Maisha huyu?

vijana tuamkeni tuache mihemuko
 
Ni mimihemko ya kipumbavu na utoto mwingi, kuna mmoja kama huyo huku nilipo leo ni rasmi wamemfungashia virago vyake. Kosa ni kupiga picha
Ndio maana hizi nafasi ziliwafaa maticha Hawa jobless wavaa milegezo wanavyoa viduku na wasuka virasta wachafu wachafu ni tatizo.

Siku nyingine NBS toa majina huko huko juu wapeni maticha na watumishi wa kada zingine huko halmshauri

Hizi mambo za kuleta majina katani ni upumbavu wameweka wavuta bangi wao,wanywa viroba wao ambao kwanza sio wakazi wa maeneo wanayoenda fanyia hizo kazi.

Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom