Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Si mlikuwa mnalilia kazi haya kazi hio Sasa komaa nayo upate huo mtaji uje uwekeze kitaa sio kumba.to mademu.Oya huku Mlimba mpka leo kimya.. tunapigishwa midodoso tuu pesa hamna dah nchi ngumu hii
Cannabis Kuna Mtu huku kaigusa bangiNdio maana hizi nafasi ziliwafaa maticha Hawa jobless wavaa milegezo wanavyoa viduku na wasuka virasta wachafu wachafu ni tatizo.
Siku nyingine NBS toa majina huko huko juu wapeni maticha na watumishi wa kada zingine huko halmshauri
Hizi mambo za kuleta majina katani ni upumbavu wameweka wavuta bangi wao,wanywa viroba wao ambao kwanza sio wakazi wa maeneo wanayoenda fanyia hizo kazi.
Inasikitisha sana
Anazingua huyo hajiaminiKo kwa akili zako zilivyo ndogo unaona apo siri imetoka , tumia ubongo vzr kwa mtu asiye jua kitu anaelewa nn apo stupid.
Na bado unaumia ukiwa wapi na uhakika 100% ata ukiniweka apa kwa kazi ya kipuuzi uliyopata kwa kujuana huna kitu kichwaniNdio maana hizi nafasi ziliwafaa maticha Hawa jobless wavaa milegezo wanavyoa viduku na wasuka virasta wachafu wachafu ni tatizo.
Siku nyingine NBS toa majina huko huko juu wapeni maticha na watumishi wa kada zingine huko halmshauri
Hizi mambo za kuleta majina katani ni upumbavu wameweka wavuta bangi wao,wanywa viroba wao ambao kwanza sio wakazi wa maeneo wanayoenda fanyia hizo kazi.
Inasikitisha sana
Jiweke wewe basi [emoji28][emoji28] wivu wa kingese huoNdio maana hizi nafasi ziliwafaa maticha Hawa jobless wavaa milegezo wanavyoa viduku na wasuka virasta wachafu wachafu ni tatizo.
Siku nyingine NBS toa majina huko huko juu wapeni maticha na watumishi wa kada zingine huko halmshauri
Hizi mambo za kuleta majina katani ni upumbavu wameweka wavuta bangi wao,wanywa viroba wao ambao kwanza sio wakazi wa maeneo wanayoenda fanyia hizo kazi.
Inasikitisha sana
Ukifeli Unarudia Hadi ufauluHivi kumbe huko mnafanya mitihani tena? Thenu ukifeli unaachwa au ni gani??
Hii nchi utoto umejaa.
UnaondolewaUkifeli Unarudia Hadi ufaulu
Kuna mijitu utafikiri michawi hailiziki ata kidogo.Jiweke wewe basi [emoji28][emoji28] wivu wa kingese huo
Tunza SIRI.Oya huku Mlimba mpka leo kimya.. tunapigishwa midodoso tuu pesa hamna dah nchi ngumu hii
Unaondolewaje wakati idadi iliyotakiwa na NBS ndio iliyochukuliwa kwenda kwenye mafunzo? Ukifeli unarekebishwa Tu,mambo hayako magumu ivoUnaondolewa
Yote tisa,10 huu ni utoto sana, mkuu kama ulivyosema , vijana muda mwngne hawaaminiki kwa mambo kamq haya,vijana mumekua watu wa ovyo sana yni huwezi kunyamaza kila kitu unatupia mtandaoni ivi we kweli utawahi kutunza siri ww?
Uliwahi kusikia wakufunzi wa sensa wakielezea mafundisho yao huku mitandaoni?
vijana tunazingua tuwe na koromeo kidogo

Basi kama ndio hivyo hizo nafasi wangepewa graduate tu, uwezo wa kufikiri na kushika mambo hauwezi uwa sawa kati ya Form IV na GRADUATE.Unaondolewaje wakati idadi iliyotakiwa na NBS ndio iliyochukuliwa kwenda kwenye mafunzo? Ukifeli unarekebishwa Tu,mambo hayako magumu ivo
NBS wenyewe wanaona ni sawa ndio maana mtihani uko mmoja Tu Kwa level zote za elimu.Kikubwa ni kujua kusoma na kuandika,pamoja na uwezo wa kutumia simu janja.Basi kama ndio hivyo hizo nafasi wangepewa graduate tu, uwezo wa kufikiri na kushika mambo hauwezi uwa sawa kati ya Form IV na GRADUATE.
Mbona sisi tunatishwa huku kwamba ukifeli unaliwa kichwa yaan unaondolewaUnaondolewaje wakati idadi iliyotakiwa na NBS ndio iliyochukuliwa kwenda kwenye mafunzo? Ukifeli unarekebishwa Tu,mambo hayako magumu ivo
Hao reserve wataanza kuwafundisha tena kuanzia utangulizi, hadi kujaza dodoso... Vip kuhusu posho zao? Watapewa kwa siku ngapi?? Akili mtu wanguMbona sisi tunatishwa huku kwamba ukifeli unaliwa kichwa yaan unaondolewa
Wanasema msijidanganye kuna watu wengi tu rezevu wataletwa