Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mbona sisi tunatishwa huku kwamba ukifeli unaliwa kichwa yaan unaondolewa

Wanasema msijidanganye kuna watu wengi tu rezevu wataletwa
Unasahau kuwa upo kwenye nchi ya vitisho? Hapo wanachukulia kuwa wote humo ndani ni walimu,maana wamezoea kuwatisha Tisha utafikiri MTU Hana vyeti.Hao waseminishaji ni maafisa elimu kata vitisho ndo wanajua kuliko utendaji kazi
 
Yote tisa,10 huu ni utoto sana, mkuu kama ulivyosema , vijana muda mwngne hawaaminiki kwa mambo kamq haya,
Nimesoma huko juu wananiambia Nina wivu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Vijana hawaaminiki sababu ya mambo ya ovyo.

Sensa selection imechuka vijana wa ovyo.[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…