DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nchi 12 Vita Extreme hiyo high qualityMkuu hilo godoro ubora wake upoje nafikiria kununua godoro jipya hili limechoka Sana [emoji28]
Unaondolewaje wakati idadi iliyotakiwa na NBS ndio iliyochukuliwa kwenda kwenye mafunzo? Ukifeli unarekebishwa Tu,mambo hayako magumu ivo
Mbona sisi tunatishwa huku kwamba ukifeli unaliwa kichwa yaan unaondolewa
Wanasema msijidanganye kuna watu wengi tu rezevu wataletwa
Hakuna kufeliUkifel unabak tuition na unapewa makeup za Kutosha mpaka ufaulu[emoji23]
Mtei Bado ?:huko?Mwenye ndongo kabisa ana 24 ambae ni Mimi [emoji37][emoji37]
Okay,basi hili swala la godoro lets take it SERIOUS.Nchi 12 Vita Extreme mkuu
Upo dsm?Okay,basi hili swala la godoro lets take it SERIOUS.
hata mm nataka godoro ila sio inchi 12,mimi 8 zinanitosha kiwanda kipo wapi nikapate mteremko kidogo.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Malizia habari mkuu. Tatizo nini? Ilikuwaje? Maeneo gani limetokea tukio hli?Wakuu mpambanaji mwenzetu mmoja (Karani) ameuawa usiku wa kuamkia leo hapa Mbeya.
Inasikitisha sana,,, mnafanyia mafunzo Kijiji/kata gani huko...Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.
Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
Aisee,Rip karani.Mkipata izo ela msitangaze jamani,mtaani kugumu,yaweza kuwa mwamba katangulizwa wakidhani ana mamilioni ya semina.All in all njia yetu ni moja.Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.
Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
950k bado 640k imebakiWatu wa mbeya mmechukua ngap???
kwani siku Huwa mnapata shilling ngapi..?950k bado 640k imebaki
Tulia huko na Ngosha wakoOya huku Mlimba mpka leo kimya.. tunapigishwa midodoso tuu pesa hamna dah nchi ngumu hii