Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Naomba kuuliza watakao endelea na semina ya kuhusu dodoso la jamii ni idadi gani kwa makadirio ya haraka haraka?
 
Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.

Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
Pretty sad!! Ni hatari sana. Mnapewa cash au mnawekewa kwenye Acc. Kama ni cash in hand,tarajieni majanga zaidi.
 
Naomba kuuliza watakao endelea na semina ya kuhusu dodoso la jamii ni idadi gani kwa makadirio ya haraka haraka?
kila mtaa atachagulia wa kwenda kudodosa dodoso la jamii na msimamizi wa maudhui wako ndiye atakaye teua mtu wa kwenda kudodosa dodoso hilo.
 
kila mtaa atachagulia wa kwenda kudodosa dodoso la jamii na msimamizi wa maudhui wako ndiye atakaye teua mtu wa kwenda kudodosa dodoso hilo.
Mbna watu wameambiwa kuna ambao semina ya dodoso la majengo hawatofanya watachaguliwa wachache hiii imekaaje au kila sehemu wanautaratibu wake au ndio upigaji umechukua mahala pake
 
Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.

Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
Daah mungu amrehemu,nimesikitishwa sana na hii habari ya huyu kijana mtafutaji kuporwa uhai wake na hela kaipata kwa jasho lake
 
Huku mbna wametaka wamesema ikifika dodoso la jamiii so wote wataendelea watachagua wachache,hiii ni harufu ya upigaji
Ratiba inasoma hivi tarh 18 ndo mwisho wa semina then watu wataenda field uwadani then baada ya Hapo ndo Kaz itaanza Leo huku tumeanza Dodoso la makundi Maalumu then Ni vizuri Kupata information kutoka katika watu wanaoelewa hii Kazi hakuna Mtu atakaye sideline hii Kazi Ni heavyweight inahitaji Man-power yakutosha Kuna kuumwa emergency za hapa na pale hasa dada zetu
 
Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.

Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
Wahuni walimpigia mahesabu atakuwa na kibunda cha semina

Na wahun wanafatilia sana sensa utasema wao ni makarani ratiba Mpka siku za mshiko wanauliza [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…