Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,304
- 830
Pale Sings Kwa Fundi tayar Mtu wangu,,Hao reserve wataanza kuwafundisha tena kuanzia utangulizi, hadi kujaza dodoso... Vip kuhusu posho zao? Watapewa kwa siku ngapi?? Akili mtu wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale Sings Kwa Fundi tayar Mtu wangu,,Hao reserve wataanza kuwafundisha tena kuanzia utangulizi, hadi kujaza dodoso... Vip kuhusu posho zao? Watapewa kwa siku ngapi?? Akili mtu wangu
Godoro 350k
Feni. 50k
Carpet. 20k
Gas. 50k
Bedsheets 40k
Total 510K
Itakayobaki namtumia Mama kijijini ili ale bata
Pretty sad!! Ni hatari sana. Mnapewa cash au mnawekewa kwenye Acc. Kama ni cash in hand,tarajieni majanga zaidi.Tumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.
Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
kila mtaa atachagulia wa kwenda kudodosa dodoso la jamii na msimamizi wa maudhui wako ndiye atakaye teua mtu wa kwenda kudodosa dodoso hilo.Naomba kuuliza watakao endelea na semina ya kuhusu dodoso la jamii ni idadi gani kwa makadirio ya haraka haraka?
Acha kutishana kiongozi.Hakuna wa kuondolewa.Waliopata under 50 wataondolewa sad truth naaga mashindano [emoji37][emoji37]
Mbna watu wameambiwa kuna ambao semina ya dodoso la majengo hawatofanya watachaguliwa wachache hiii imekaaje au kila sehemu wanautaratibu wake au ndio upigaji umechukua mahala pakekila mtaa atachagulia wa kwenda kudodosa dodoso la jamii na msimamizi wa maudhui wako ndiye atakaye teua mtu wa kwenda kudodosa dodoso hilo.
Kiongozi nimesikia ktka hili kundi kubwa watachukuliwa baadhi kufundihwa semina ya dodoso la majengo hiii imekaaje wakuuWaliopata under 50 wataondolewa sad truth naaga mashindano [emoji37][emoji37]
Sisi tumeanza leo,nacho elewa mm wote mnafanya hii semina,ila watakao fanya ni wachacheNaomba kuuliza watakao endelea na semina ya kuhusu dodoso la jamii ni idadi gani kwa makadirio ya haraka haraka?
Hii kwa siku bei gan?950k bado 640k imebaki
Daah mungu amrehemu,nimesikitishwa sana na hii habari ya huyu kijana mtafutaji kuporwa uhai wake na hela kaipata kwa jasho lakeTumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.
Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
Huku mbna wametaka wamesema ikifika dodoso la jamiii so wote wataendelea watachagua wachache,hiii ni harufu ya upigajiSisi tumeanza leo,nacho elewa mm wote mnafanya hii semina,ila watakao fanya ni wachache
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ratiba inasoma hivi tarh 18 ndo mwisho wa semina then watu wataenda field uwadani then baada ya Hapo ndo Kaz itaanza Leo huku tumeanza Dodoso la makundi Maalumu then Ni vizuri Kupata information kutoka katika watu wanaoelewa hii Kazi hakuna Mtu atakaye sideline hii Kazi Ni heavyweight inahitaji Man-power yakutosha Kuna kuumwa emergency za hapa na pale hasa dada zetuHuku mbna wametaka wamesema ikifika dodoso la jamiii so wote wataendelea watachagua wachache,hiii ni harufu ya upigaji
Hi kwa semina tu? Mbn ndogo?950k bado 640k imebaki
Kiongozi nimesikia ktka hili kundi kubwa watachukuliwa baadhi kufundihwa semina ya dodoso la majengo hiii imekaaje wakuu
uko vizuri sanaaaSensa siku 6 ,majengo siku 6 so 12 wote wanafanya...la jamii siku 2 ndo watachaguliwa wachache na wasimamizi
Wahuni walimpigia mahesabu atakuwa na kibunda cha seminaTumepokea habari nusu ila viongozi wapo wanafatilia hilo.
Ilikua jana baada ya kupokea malipo wanadai alisema anaenda kununua simu na baada ya hapo hakurudi tena mpaka pale mwili wake ulipopatikana mtoni asubuhi ya leo.
Cash in hand mzeePretty sad!! Ni hatari sana. Mnapewa cash au mnawekewa kwenye Acc. Kama ni cash in hand,tarajieni majanga zaidi.
Acha kabisa hommie... Watu wanahisi kama tunanyoosha vibunda vya kueleweka kumbe stress tuWahuni walimpigia mahesabu atakuwa na kibunda cha semina
Na wahun wanafatilia sana sensa utasema wao ni makarani ratiba Mpka siku za mshiko wanauliza [emoji16]