Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kumbe ulikosa nafasi that y unapost Rumors!!!😀😀
 
Hakuna hata mwenye possible Question jamani..
 
Wengi wenu mnaongea tu kwa mihemko hakuna hata mnachokijua ila subirini kuanzia 15/08/22 ndio mtajua kama;
i. Kuna mchujo au laa
ii. Kuna reserves au laa
iii. Kuna kulipwa 950k au laa

NAOMBA KUWASILISHA, MUWE NA SIKU NJEMA
Hili swala la tarehe 15 ni la kweli watu waliokua wanakataa labda hawakupata ratiba mpya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Temeke wakilipwa mnitag maana kuna mwamba namdai buku 3 amesema akilipwa atanipa , nataka nikanywe hata supu ya maana nibadilishe mandhari tumboni.
 
Temeke wakilipwa mnitag maana kuna mwamba namdai buku 3 amesema akilipwa atanipa , nataka nikanywe hata supu ya maana nibadilishe mandhari tumboni.
Kwa hiyo umeamua kuja kinitangaza huku sio? Poa bhn ila tumeshalipwa sema nilipata shida kidogo Bimkubwa alimeza shoka bahati mbaya ikabidi nitume pesa yote.Ila usijali kuhusu supu nitakutafutia hata kunguru mmoja wapo wengi huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…