Hahaha!! sio kweli jamaa hayupo Jf mimi wala hana smart updates za sensa na mikeka mimi ndiye niliyekua ninampa ,nikijua Temeke wametoa namrukia chap nipate changu mapema.Kwa hiyo umeamua kuja kinitangaza huku sio? Poa bhn ila tumeshalipwa sema nilipata shida kidogo Bimkubwa alimeza shoka bahati mbaya ikabidi nitume pesa yote.Ila usijali kuhusu supu nitakutafutia hata kunguru mmoja wapo wengi huku
Dogo unajifanya much know sana, hivi viposho ulivyolipwa hapo umeona kama umetajirika, ndio maana vijana wa siku hizi hamuaminiki kabisa nimedanganya nini hapo sasa?Acheni kutunga uongo hamjui hata kuwa Kuna Field ???? !!! Upuuzi hampo NBS Kaz kupost uongo
Mimi ratiba yangu inasema ivyo.Achana na huyo mpiga ramli
Inasemaje?Mimi ratiba yangu inasema ivyo.
Mbinga wamelipwa leo ya siku 5 tsh 200000Inasemaje?
We upo sawa.Mbinga wamelipwa leo ya siku 5 tsh 200000
Awamu ya pili au ndo wamelipwa leo toka mafunzo yaanze??????Mbinga wamelipwa leo ya siku 5 tsh 200000
Hawajawapa ya nauli?Mbinga wamelipwa leo ya siku 5 tsh 200000
Hahaaa wewe utakua wilaya x aloenda mkuu wa wilaya X akasema "Bora ufe wewe kuliko tablet kupotea" haaaa endeleeni kuvumilia kesho mtapata mkuuSisi tumeambiwa mpaka kesho na tangia tuanze hatujawahi pewa chochote na hatujui tutapewa sh ngapi.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Upo kituo gani mkuuHahaaa wewe utakua wilaya x aloenda mkuu wa wilaya X akasema "Bora ufe wewe kuliko tablet kupotea" haaaa endeleeni kuvumilia kesho mtapata mkuu
10000Hawajawapa ya nauli?
KwanzaAwamu ya pili au ndo wamelipwa leo toka mafunzo yaanze??????
MatemaUpo kituo gani mkuu
Wanao endelea tarehe 16,17 na 18 ni dodoso maalumInasemaje?
HahaaWanao endelea tarehe 16,17 na 18
Ongea na mwenyekiti wakoMwenye ratiba mpya tafadhali atupie hpa