Wewe ndiye sio muelewa. Una kichwa kigumu mno.Mkuu ulisoma mkataba vizuri, mkataba ulikuwa unaanza tar 21 mbaka tar 1 ambapo ni siku 12, sensa ya watu ni siku 7 yani tar 23 hadi 29, then 30,31 na 1 ni sensa ya majengo, siku ya kukabidhi vifaa haikuwa kwenye siku za mkataba. ,wengi walimnukuhu vibaya mama makinda alivyosema sensa ya watu itakuwa siku 7 wakajua kua mwanzo zilikuwa 5 au 6,kumbe ilikuwa ni kuwakumbusha tu watu.
Siyo kweli... unajiona mjuaji kumbe na wewe ndo huelewi kabisa!Wewe ndiye sio muelewa. Una kichwa kigumu mno.
Tarehe 29 jana waliofikiwa ni 93.4% kwa nchi nzima,hivyo ameongeza siku 7 zaidi,ikiamaanisha 30,31,1,2,3,4,5.
Sijui unaelewa bwana mkubwa?
Msilaumu walimu,laumu serikali iliyotoka ajira na kuruhusu kila MTU kuomba.Acheni chuki zenu binafsi.Vijana mjiajiri ili muondokane na chuki dhidi ya walimu,acheni kuchagua kazi.Haya mwezi wa kumi na moja NECTA zinaanza sijui mtakuja kuanzisha Uzi wa walimu wasisimamie
Akina Ngoswe kulikoni, hamjanihesabu pamoja na familia yangu yote hadi sasa na uwezekano wa kunihesabu haupo tena
Wewe ndiye sio muelewa. Una kichwa kigumu mno.
Tarehe 29 jana waliofikiwa ni 93.4% kwa nchi nzima,hivyo ameongeza siku 7 zaidi,ikiamaanisha 30,31,1,2,3,4,5.
Sijui unaelewa bwana mkubwa?
Unauliza au unatoa maelezo maana maneno yako hayaeleweki na hiyo alama ya kuuliza uliweka mwishoniUtafungwaje wakati bado hatujaja kuwaambia kuwa vishkwambi pia vimetolewa bure Kwa makarani kama Asante Kwa KAZI nzito?
[emoji2]vipo kwa kata yangu na wilaya kwa ujumla kidogo tumejitahidi ila sehemu nyengineKama mumeibiwa tupeni taarifa
Wameshindwa kukomaa !Kata katika wilaya ya temeke leo wanaenda kuludisha vifaa na kupewa pesa ila 40 czani kama watapewa
Tatzo apa temeke wangese wengi waoga sanaWameshindwa kukomaa !
Ilala hapa watu walitaka kulianzisha kesho yake tu tukaitwa fasta kupewa hela
Kuna kata za kilakala buza makangarawe vituka mtoniTusharudisha vifaa vipi kuhusu malipo yetu sasa
Kimenukaje mkuu