Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mkuu ulisoma mkataba vizuri, mkataba ulikuwa unaanza tar 21 mbaka tar 1 ambapo ni siku 12, sensa ya watu ni siku 7 yani tar 23 hadi 29, then 30,31 na 1 ni sensa ya majengo, siku ya kukabidhi vifaa haikuwa kwenye siku za mkataba. ,wengi walimnukuhu vibaya mama makinda alivyosema sensa ya watu itakuwa siku 7 wakajua kua mwanzo zilikuwa 5 au 6,kumbe ilikuwa ni kuwakumbusha tu watu.
Wewe ndiye sio muelewa. Una kichwa kigumu mno.
Tarehe 29 jana waliofikiwa ni 93.4% kwa nchi nzima,hivyo ameongeza siku 7 zaidi,ikiamaanisha 30,31,1,2,3,4,5.

Sijui unaelewa bwana mkubwa?
 
Wewe ndiye sio muelewa. Una kichwa kigumu mno.
Tarehe 29 jana waliofikiwa ni 93.4% kwa nchi nzima,hivyo ameongeza siku 7 zaidi,ikiamaanisha 30,31,1,2,3,4,5.

Sijui unaelewa bwana mkubwa?
Siyo kweli... unajiona mjuaji kumbe na wewe ndo huelewi kabisa!
 
Umeongea kwa hisia sana
Msilaumu walimu,laumu serikali iliyotoka ajira na kuruhusu kila MTU kuomba.Acheni chuki zenu binafsi.Vijana mjiajiri ili muondokane na chuki dhidi ya walimu,acheni kuchagua kazi.Haya mwezi wa kumi na moja NECTA zinaanza sijui mtakuja kuanzisha Uzi wa walimu wasisimamie
 
Wewe ndiye sio muelewa. Una kichwa kigumu mno.
Tarehe 29 jana waliofikiwa ni 93.4% kwa nchi nzima,hivyo ameongeza siku 7 zaidi,ikiamaanisha 30,31,1,2,3,4,5.

Sijui unaelewa bwana mkubwa?
 
Attachments

  • IMG-20220829-WA0023.jpg
    IMG-20220829-WA0023.jpg
    53.6 KB · Views: 13
Utafungwaje wakati bado hatujaja kuwaambia kuwa vishkwambi pia vimetolewa bure Kwa makarani kama Asante Kwa KAZI nzito?
 
Utafungwaje wakati bado hatujaja kuwaambia kuwa vishkwambi pia vimetolewa bure Kwa makarani kama Asante Kwa KAZI nzito?
Unauliza au unatoa maelezo maana maneno yako hayaeleweki na hiyo alama ya kuuliza uliweka mwishoni

Kama unauliza ..kwa upande wetu sisi tunarudisha kesho sijasikia hyo ya kupewa ndio kwanza nimeskia kwako
 
Kata katika wilaya ya temeke leo wanaenda kuludisha vifaa na kupewa pesa ila 40 czani kama watapewa
 
Back
Top Bottom