thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,851
Wewe ndiye sio muelewa. Una kichwa kigumu mno.Mkuu ulisoma mkataba vizuri, mkataba ulikuwa unaanza tar 21 mbaka tar 1 ambapo ni siku 12, sensa ya watu ni siku 7 yani tar 23 hadi 29, then 30,31 na 1 ni sensa ya majengo, siku ya kukabidhi vifaa haikuwa kwenye siku za mkataba. ,wengi walimnukuhu vibaya mama makinda alivyosema sensa ya watu itakuwa siku 7 wakajua kua mwanzo zilikuwa 5 au 6,kumbe ilikuwa ni kuwakumbusha tu watu.
Tarehe 29 jana waliofikiwa ni 93.4% kwa nchi nzima,hivyo ameongeza siku 7 zaidi,ikiamaanisha 30,31,1,2,3,4,5.
Sijui unaelewa bwana mkubwa?