Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

50k daah [emoji2]. Sasa huyu mtendaji wenu si atauawa vijana hio ni bajeti kubwa sana kwa sisi jobless
 
Wastage of our time how comes zile office zenyewe za kata hazina hata Umeme sasa watachambuaje majina??? NBS hawapo serious .
kule halmashauri ndo kuna maumeme so hao jamaa wa halmashauri wanapewa access ya kuingia kwenye ule mfumo na kuchambua majina au watu wao wenye sifa au wanaowahtaji then wakimaliza watatoa majina bt kwa vyovyote hawa ma WEO lazima wajue kinachoendelea kule na hata kupeleka majina ya watu wao wa karibu ili ya mambo yawe bulbuli
 
Sawa subir tuone maana hii sio Jambo la kukalili na kutoa hela..
 
Sidhani kama huu upuuzi utafanyika, kusingekuwa na haja ya kuomba NBS moja kwa moja.
 
Sidhani kama huu upuuzi utafanyika, kusingekuwa na haja ya kuomba NBS moja kwa moja.
Kuombea NBS ilikua kwa kwaajili ya kuzuia mtu mmoja kutumia cheti chake kuomba kwa kada tofauti na kwa maeneo tofauti. Mtu angeweza kuomba Arusha, ilala, kigamboni etc. Ila kupitia nbs ni mara1 tuu. Ila kila kitu ni huku chini
 
Kama hukuelewa kwanini form uliacha kwa WEO ni kwamba wao ndiyo watapitisha majina ambayo yatanyiwa usahili.
 
Kuombea NBS ilikua kwa kwaajili ya kuzuia mtu mmoja kutumia cheti chake kuomba kwa kada tofauti na kwa maeneo tofauti. Mtu angeweza kuomba Arusha, ilala, kigamboni etc. Ila kupitia nbs ni mara1 tuu. Ila kila kitu ni huku chini

Ulitaka maombi yapitie halmashauri. Wakati site zao za hovyo
Nadhani hukunielewa kiongozi.
 
Nikipata dili la sensa....

Naweka laki 3 pembeni nanunua mashine ya umwagiliaji[emoji19]

eeh Mwenyezi Mungu nisaidie nitoboe maana mtanange ni mkali sana
Mimi Ela ya anuani za makazi nilinunulia pampu ya maji hapa nasubiria sensa ninunulie sola ya 250W na inventor ata nikikosa hizo kazi za utendaji nitakuwa na peta tu town
 
Mimi Ela ya anuani za makazi nilinunulia pampu ya maji hapa nasubiria sensa ninunulie sola ya 250W na inventor ata nikikosa hizo kazi za utendaji nitakuwa na peta tu town
Unafanya kilimo mkuu ebu nishirikishe na mie nikipata hii ya sensa Nije kulima tu kwa kweli mambo Town siyaelewi kabisa aiseee
 
Unafanya kilimo mkuu ebu nishirikishe na mie nikipata hii ya sensa Nije kulima tu kwa kweli mambo Town siyaelewi kabisa aiseee
Mkuu bado cjaanza sababu kuu ni pesa imenipungukia maana nilitaka tumia sola ili nipate faida kubwa kwenye kilimo umeme wa TANESCO labda niwaibie maana nitatumia garama kubwa Sana kunyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…