Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Sijakasirika Ila nasema in feeling[emoji16][emoji28][emoji1787][emoji1787] punguza makasiriko kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakasirika Ila nasema in feeling[emoji16][emoji28][emoji1787][emoji1787] punguza makasiriko kijana
50k daah [emoji2]. Sasa huyu mtendaji wenu si atauawa vijana hio ni bajeti kubwa sana kwa sisi joblessMuibukie mtendaji wako ujifanye kama ulisahau cheti kwenye ile bahasha ya copy mmalizane mapema ili mambo yasiwe mengi. Ndo issue inayoendelea chini kwa chini. That's how we do in my hood. Tokea juzi ni mwendo wa 50k kila kichwa uwekwe kwenye orodha ya makada watiifu wa kata
kule halmashauri ndo kuna maumeme so hao jamaa wa halmashauri wanapewa access ya kuingia kwenye ule mfumo na kuchambua majina au watu wao wenye sifa au wanaowahtaji then wakimaliza watatoa majina bt kwa vyovyote hawa ma WEO lazima wajue kinachoendelea kule na hata kupeleka majina ya watu wao wa karibu ili ya mambo yawe bulbuliWastage of our time how comes zile office zenyewe za kata hazina hata Umeme sasa watachambuaje majina??? NBS hawapo serious .
Sawa subir tuone maana hii sio Jambo la kukalili na kutoa hela..kule halmashauri ndo kuna maumeme so hao jamaa wa halmashauri wanapewa access ya kuingia kwenye ule mfumo na kuchambua majina au watu wao wenye sifa au wanaowahtaji then wakimaliza watatoa majina bt kwa vyovyote hawa ma WEO lazima wajue kinachoendelea kule na hata kupeleka majina ya watu wao wa karibu ili ya mambo yawe bulbuli
WapumbavuNa huko ndiko connection za ajabu zilipo tushapigwa na kitu kizito kichwani
Sidhani kama huu upuuzi utafanyika, kusingekuwa na haja ya kuomba NBS moja kwa moja.kule halmashauri ndo kuna maumeme so hao jamaa wa halmashauri wanapewa access ya kuingia kwenye ule mfumo na kuchambua majina au watu wao wenye sifa au wanaowahtaji then wakimaliza watatoa majina bt kwa vyovyote hawa ma WEO lazima wajue kinachoendelea kule na hata kupeleka majina ya watu wao wa karibu ili ya mambo yawe bulbuli
Kuombea NBS ilikua kwa kwaajili ya kuzuia mtu mmoja kutumia cheti chake kuomba kwa kada tofauti na kwa maeneo tofauti. Mtu angeweza kuomba Arusha, ilala, kigamboni etc. Ila kupitia nbs ni mara1 tuu. Ila kila kitu ni huku chiniSidhani kama huu upuuzi utafanyika, kusingekuwa na haja ya kuomba NBS moja kwa moja.
Ulitaka maombi yapitie halmashauri. Wakati site zao za hovyoSidhani kama huu upuuzi utafanyika, kusingekuwa na haja ya kuomba NBS moja kwa moja.
Kuombea NBS ilikua kwa kwaajili ya kuzuia mtu mmoja kutumia cheti chake kuomba kwa kada tofauti na kwa maeneo tofauti. Mtu angeweza kuomba Arusha, ilala, kigamboni etc. Ila kupitia nbs ni mara1 tuu. Ila kila kitu ni huku chini
Nadhani hukunielewa kiongozi.Ulitaka maombi yapitie halmashauri. Wakati site zao za hovyo
Bado upo kwenye denial KIONGOZI ila huo ndio ukweliSidhani kama huu upuuzi utafanyika, kusingekuwa na haja ya kuomba NBS moja kwa moja.
Maelekezo yalikuwa wazi,makarani na wasimamizi maombi yao yatafanyika kwenye kata na TEHAMA wilayaniBado upo kwenye denial KIONGOZI ila huo ndio ukweli
Mimi Ela ya anuani za makazi nilinunulia pampu ya maji hapa nasubiria sensa ninunulie sola ya 250W na inventor ata nikikosa hizo kazi za utendaji nitakuwa na peta tu townNikipata dili la sensa....
Naweka laki 3 pembeni nanunua mashine ya umwagiliaji[emoji19]
eeh Mwenyezi Mungu nisaidie nitoboe maana mtanange ni mkali sana
Unafanya kilimo mkuu ebu nishirikishe na mie nikipata hii ya sensa Nije kulima tu kwa kweli mambo Town siyaelewi kabisa aiseeeMimi Ela ya anuani za makazi nilinunulia pampu ya maji hapa nasubiria sensa ninunulie sola ya 250W na inventor ata nikikosa hizo kazi za utendaji nitakuwa na peta tu town
Ni kweli ndugu yangu wa Kyela sema watu hawakusoma tangazoMaelekezo yalikuwa wazi,makarani na wasimamizi maombi yao yatafanyika kwenye kata na TEHAMA wilayani
Mkuu bado cjaanza sababu kuu ni pesa imenipungukia maana nilitaka tumia sola ili nipate faida kubwa kwenye kilimo umeme wa TANESCO labda niwaibie maana nitatumia garama kubwa Sana kunyeshaUnafanya kilimo mkuu ebu nishirikishe na mie nikipata hii ya sensa Nije kulima tu kwa kweli mambo Town siyaelewi kabisa aiseee
Ile list inayotembea kwenye magroup siyo yenyewe??
Siku sio nyingi jiandae mkawe kina Ngoswe huko kwenue Sensa.list inatoka lini?