John kihuliko
Member
- Jan 11, 2022
- 19
- 20
Iv tuliobaki na form zetu ndo tuxhaliwa nin jmnSiku sio nyingi jiandae mkawe kina Ngoswe huko kwenue Sensa.
Kwani mkuu .form si walisema ukishatuma uzipeleke kwenye ofisi yako ya kata?Iv tuliobaki na form zetu ndo tuxhaliwa nin jmn
Kwanini punguza presha kama ipo ipo tu.Iv tuliobaki na form zetu ndo tuxhaliwa nin jmn
Utaitwa. Si form six wameitwa makambini JKT? Mnazidi kubaki wachacheKwanini punguza presha kama ipo ipo tu.
Af madogo hata hawajaomba weng sasaUtaitwa. Si form six wameitwa makambini JKT? Mnazidi kubaki wachache
Mkeka bado yaan Sijui hata wanatoa lini hayo Majina daahNa mbona watu wanapgia hesabu pesa za Mama? Au Mkeka ushatoka[emoji848]
Nasikia tayari, angaliaMkeka bado yaan Sijui hata wanatoa lini hayo Majina daah
Umesikia tu kumbe huna uhakikaNasikia tayari, angalia
Ni muhimu watu kujiandaa kisaikolojia kuna kitu kizito kinakuja..Siku yakitoka utatamani bora yasingetoka
Teh teh teh utajua kuwa hujui kudadadekiKwani maombi si yalitumwa mojakwamoja NBS.. Sasa wanasemaje yanaendelea huko ofisi za kata...? Kwanza ofisi za kata gani, hizi zisizo na umeme Wala desktop Wala printer [emoji2774] kumbe hawa NBS ni wasenge sana. Huu mfumo wa kielectronic walileta wa nn... fala sana hizi nbs
Halafu kuna watu wengi hawakuacha copy ya form kwa WatendajiNi kweli ndugu yangu wa Kyela sema watu hawakusoma tangazo
Au tunasema wanasema sehemu zinazovutia
Hapo hesabu umejiondoa wewe mwenyeweIv tuliobaki na form zetu ndo tuxhaliwa nin jmn
Hiyo sio sababu ya msingi cha msingi kama details zako ziko vema kule NBS basi kama umechaguliwa watu wa kata watajulishwa na utajulishwa tupunguze mihemko.Hapo hesabu umejiondoa wewe mwenyewe
Ngazi ya kata wataletewa majina 100 kutoka NBS kwa lengo la kufanya usahili ili wabaki 50.....Huu ni mfano wa itakavyokuwa na hizo fomu zilizobaki pale ofisini kwao hazina maanaHalafu kuna watu wengi hawakuacha copy ya form kwa Watendaji
Huu ni uhakika au unatabiri? [emoji23]Ngazi ya kata wataletewa majina 100 kutoka NBS kwa lengo la kufanya usahili ili wabaki 50.....Huu ni mfano wa itakavyokuwa na hizo fomu zilizobaki pale ofisini kwao hazina maana
Ndio maana majina yakitoka utayakuta kwenye tovuti yao na kwenye ofisi ya kata ulioomba kufanya hiyo kazi na watakupa tarehe ya kwenda kufanyiwa usahili katika kata/wilaya husika