Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Na mbona watu wanapgia hesabu pesa za Mama? Au Mkeka ushatoka[emoji848]
 
Kwani maombi si yalitumwa mojakwamoja NBS.. Sasa wanasemaje yanaendelea huko ofisi za kata...? Kwanza ofisi za kata gani, hizi zisizo na umeme Wala desktop Wala printer [emoji2774] kumbe hawa NBS ni wasenge sana. Huu mfumo wa kielectronic walileta wa nn... fala sana hizi nbs
Teh teh teh utajua kuwa hujui kudadadeki
 
Halafu kuna watu wengi hawakuacha copy ya form kwa Watendaji
Ngazi ya kata wataletewa majina 100 kutoka NBS kwa lengo la kufanya usahili ili wabaki 50.....Huu ni mfano wa itakavyokuwa na hizo fomu zilizobaki pale ofisini kwao hazina maana

Ndio maana majina yakitoka utayakuta kwenye tovuti yao na kwenye ofisi ya kata ulioomba kufanya hiyo kazi na watakupa tarehe ya kwenda kufanyiwa usahili katika kata/wilaya husika
 
Huu ni uhakika au unatabiri? [emoji23]
 
Back
Top Bottom