msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Hiyo ni ngazi ya taifa mkuu, wewe si uliomba ngazi ya wilaya/kata?Kumbe mshaitwa tayari?
Hayo Majina Ni lini SasaTupo kwenye kikao muda huu ndugu zanguView attachment 2250188
Duh mbona hatari hii maswali hua yanabase wapi hasa nitafute mtuUsahili na Mafunzo yanafanyika kwenye wilaya na kata ulio omba kufanya hiyo kazi
Ni swala la muda tu,utaanza kuyafahamu maswali common yatakayo ulizwa kwenye usahili wa sensaDuh mbona hatari hii maswali hua yanabase wapi hasa nitafute mtu
Mkuu majina wanatoa lini?Ni swala la muda tu,utaanza kuyafahamu maswali common yatakayo ulizwa kwenye usahili wa sensa
Mkuu napataje soft copy. Ya hiko ktabu cha muongozo?Tupo kwenye kikao muda huu ndugu zanguView attachment 2250188
Kazi hujapata unataka kitabu cha mwongozo? Tulieni Vijana.Mkuu napataje soft copy. Ya hiko ktabu cha muongozo?
Mwingine juu hapo anataka kujua maswali ya kuulizwa wkt wa usahili wkt hata majina bado, hii ndio Tz..Kazi hujapata unataka kitabu cha mwongozo? Tulieni Vijana.
Dah, waTzMwingine juu hapo anataka kujua maswali ya kuulizwa wkt wa usahili wkt hata majina bado, hii ndio Tz..
[emoji848][emoji848][emoji848]Kazi hujapata unataka kitabu cha mwongozo? Tulieni Vijana.
Kama unacho nifanyie mpango hayo mambo ya kazi tumewaachia wajumbe kule kataniKazi hujapata unataka kitabu cha mwongozo? Tulieni Vijana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado na timu ya MAKINDA NA WATENDAJI WA KATA IMALIZIE KABISA KUCHANA HIYO MIKEKALeo timu ya taifa la uingereza limechana mikeka ya dunia nzima
Hivi hizo nafasi ngazi ya taifa nazo zilitangazwa!!?Hiyo ni ngazi ya taifa mkuu, wewe si uliomba ngazi ya wilaya/kata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine juu hapo anataka kujua maswali ya kuulizwa wkt wa usahili wkt hata majina bado, hii ndio Tz.
Nini tenaTutegemee leo
Kwahiyo wanatapeliwa hela za majini au za warume waoHakuna nchi rahisi kuishi kama Tz.
Watu hawana hela ila wanatapeliwa hela kila siku😅😅