Mapema sanaNgoja nitafute suruali kama ya ngoswe tu naona dalili njema
Hahahahah sarawiliNgoja nitafute suruali kama ya ngoswe tu naona dalili njema
Malipo yake vipi kwaniNikizipata.....[emoji36][emoji36][emoji36] mbna mtakoma
Malipo haizidi laki tanoMalipo yake vipi kwani
Umeomba nafasi ya ukarani au maudhui ? [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nitafute suruali kama ya ngoswe tu naona dalili njema
acha uongo wewe,serikali imetenga B 600 kwa ajili ya sensa..ni gharama kubwa zaidi kuliko miaka yote tokea tupate uhuru.Kwenye malipo hata kila mmoja kati ya watu laki 2 na elfu 5 akapewa milioni milioni itakua imetumika B 205 tu hivyo malipo awamu hii watayafikiria japo mpaka muda huu bado hawajota scale maalumu.Cha muhimu usipigie bajeti pesa ambayo hujaipata pigia bajeti pesa uliyo nayo kwa sasaMalipo haizidi laki tano
Kwani pesa yote ni kulipa tu posho za hao makarani,msimamizi maudhui na mtu wa TEHAMA? Yaani hakuna kutoa nakala za dodoso,nakala za miongozo ya semina,semina za waratibu n.k?Yaani ulitarajia bajeti ya sensa 2012 ikaribiane na ya 2021?Unakumbuka bajeti nzima ya mwaka wa fedha 2012?unaweza kulinganisha na bajeti ya serikali mwaka 2021?acha uongo wewe,serikali imetenga B 600 kwa ajili ya sensa..ni gharama kubwa zaidi kuliko miaka yote tokea tupate uhuru.Kwenye malipo hata kila mmoja kati ya watu laki 2 na elfu 5 akapewa milioni milioni itakua imetumika B 205 tu hivyo malipo awamu hii watayafikiria japo mpaka muda huu bado hawajota scale maalumu.Cha muhimu usipigie bajeti pesa ambayo hujaipata pigia bajeti pesa uliyo nayo kwa sasa
MAMBO YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE.
Jamaa halijui kuwa pesa iliyotengwa kwaajili ya sensa inajumuisha manunuzi ya tablet kwaajili ya makarani pia kuna ile 10% ya mtoa zabuniKwani pesa yote ni kulipa tu posho za hao makarani,msimamizi maudhui na mtu wa TEHAMA? Yaani hakuna kutoa nakala za dodoso,nakala za miongozo ya semina,semina za waratibu n.k?Yaani ulitarajia bajeti ya sensa 2012 ikaribiane na ya 2021?Unakumbuka bajeti nzima ya mwaka wa fedha 2012?unaweza kulinganisha na bajeti ya serikali mwaka 2021?
Kama hujui kitu kaa kimya tu 2012 nikiwa bado young nime fanya sensa na tulipata pesa nzuri tu kuzidi iko kiasi ulicho kiandika hapa hivo usiwakatishe watu tamaa kwa kutaja usicho kua na uhakika nachoMalipo haizidi laki tano
ulifanya kama karani au Maudhui,, maana Nimesikia Nafasi ya Maudhui wanapata Watumishi wa serikaliKama hujui kitu kaa kimya tu 2012 nikiwa bado young nime fanya sensa na tulipata pesa nzuri tu kuzidi iko kiasi ulicho kiandika hapa hivo usiwakatishe watu tamaa kwa kutaja usicho kua na uhakika nacho
Kuna uwezekano mkubwa wa idadi ya waombaj kufika milion
Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malaziKama hujui kitu kaa kimya tu 2012 nikiwa bado young nime fanya sensa na tulipata pesa nzuri tu kuzidi iko kiasi ulicho kiandika hapa hivo usiwakatishe watu tamaa kwa kutaja usicho kua na uhakika nacho
Kwa nafasi ipi?Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
MashaAllah, kwel si haba kwa kazi ya mudaHabari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
Hakuna kitu kama hiko...labda kwa waratibu wa mkuo na wilaya.Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
Amka mkuu bado uko ndotoni.Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
Mkuu amka toka kwenye usingizi mzitoHabari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi