Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Vijana tunaharaka Sana, kama ipo ipo tu mimi nilituma na maombi yakapokelewa kabla hiyo batani ya jinsia haijawekwa Sasa kama watanifyeka hiyo itaitwa ni sababu iliyo inje ya uwezo wangu Maisha yanaendelea, Cha msingi usiipigie mahesabu Hela unayotarajia kuipata bali ipigie mahesabu hela uliyonayo