Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

mpka tar 19 waombaji tutakuwa M+ [emoji16] ,ngoja tu tujaribu bahati zetu
 
Kumbe kuna watu wameshajaza na kutuma form no.1 kabla ya Tangazo halijatoka rasmin yaani week moja nyuma kabla serikali haijatangaza ajira.

Hii nchi kwa upigaji ni namba moja, siyo serikali siyo raia.
 
mpka tar 19 waombaji tutakuwa M+ ,ngoja tu tujaribu bahati zetu
Kuna deadline mbili ya kwanza ni 14 may 2022 ya danganya toto ni 19 may 2022. Wewe unajaribi bahati kwenye ipi?.
 
Saili zote zitaendeshwa na Halmashauri tena ngazi ya Kata,watu wa Halmashauri watapewa access ya kuona applicants wa Halmashauri zao
 
Mimi mwenyew nimesikia Kuna watu tiyari washaanza hizo semina
Sasa sielewi ni kweli au ni maneno ya watu tu
 
Saili zote zitaendeshwa na Halmashauri tena ngazi ya Kata,watu wa Halmashauri watapewa access ya kuona applicants wa Halmashauri zao
[emoji1552][emoji1552][emoji1552]Yani nikishaona neno kata ndo nachsnganyikiwa kabisaa
 
Mimi mwenyew nimesikia Kuna watu tiyari washaanza hizo semina
Sasa sielewi ni kweli au ni maneno ya watu tu
Kwa Mimi nilivosikia nikwamba walio pewa hiyo semina Ni hao watendaji wa kata na baadhi ya viongozi kwenye halmashauri
 
Ukiona mchakato unafanywa na kata basi mambo yashakuwa magumu hapo ni vimemo tu na nahakika kuna hawatojisumbua kuomba by utawakuta kwenye semina
 
Ukifanikiwa kusubmit inakuja document yenye hizo taarifa ulizojaza tayar kwa kuprint.
Then kuna ujumbe wanakutumia kwenye email yako, huo ujumbe una username na password ambazo uta login then utaituma tena hiyo document ambayo umekwisha kuiprint na kuisainisha kwa mwenyekiti, wadhamin na ww mwenyewe.
Ukufanikiwa kutum unapata ujumbe?
 
hiv km umekosea huwezi edit?
 
hiv km umekosea huwezi edit?
Baadhi ya taarifa unaweza edit ila sio vyeti na picha ukishakosea ndo imeisha na Kama pia ukikosea kuapload barua iliyosainiwa ndo basi Tena system kwako inakua (inajifunga)imekamilisha Kuwa maombi yamepokelewa Kama Kuna sehemu hukusaini basi Tena subri maajabu ya mungu labda Kama wataongeza vipengele vya kuedit form
 
Naomba kujua wadhamini wanaotakiwa hapo wanatakiwa kuwa na sifa zipi
 
Mtu yeyote hata kama hana wadhifa?
Kwenye system hakuna sehemu ya kujaza kazi au wadhifa wa mzamini Kuna majina matatu namba na email then form ukiidownload inaongezeka sehemu ya mkoa anakaa wilaya, kata na mataa na sehemu ya dole gumba hakuna sehemu ya wadhifa

NB: Kama unauwezo wa kuwapata hao wenye wadhifa watafute tu mkuu huwezi jua huenda wakaongeza ubora wa maombi Yako hahahahaha
 
Sawa asante kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…