Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nimesha tuma ila sijaona password Katika email yangu
 
Hapo anatia saini na dole gumba tu kawaida Kama una wino wa mhuri anachovya then anaweka hapo kwenye sehemu ya dole gumba Kama huna wino chukua dole gumba lake chora na kalamu mpka likolee then weka hapo
Ha haaaaa au achore na mark pen
 
Baadhi ya taarifa unaweza edit ila sio vyeti na picha ukishakosea ndo imeisha na Kama pia ukikosea kuapload barua iliyosainiwa ndo basi Tena system kwako inakua (inajifunga)imekamilisha Kuwa maombi yamepokelewa Kama Kuna sehemu hukusaini basi Tena subri maajabu ya mungu labda Kama wataongeza vipengele vya kuedit form
Namba ya simu unaweza edit?
 
Heb sadia hapa
Niki upload vyeti inakataa itakuwa shida ni nn
Inaandikia no file selected
 
kazi inafanyika kwa muda gani na je wametatua changamoto zilizojitikeza kwenye kazi za anwani za makazi
 
Hv wadau kuna uwezekano wa kuomba Mara mbili kwa maeneo tofauti au ile namba ya nida na index namba ya form inakaba
 
Alafu wadau kuna mtu humu kafanikisha kutuma maombi bila kuwa na Nida?
 
Back
Top Bottom