Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
Haikubali maana sehemu zote lazima ujazeAlafu wadau kuna mtu humu kafanikisha kutuma maombi bila kuwa na Nida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikubali maana sehemu zote lazima ujazeAlafu wadau kuna mtu humu kafanikisha kutuma maombi bila kuwa na Nida?
Hizi kazi zina wenyeweWatu wameshaenda kwenye semina tokea jana. Kuna chalii nipo nae kitaa kaondoka jana kwenda kwenye semina Iringa. Hilo tangazo ni geresha tu
Nimepata ujumbe una picha yangu na maelezo yote mwisho wakaandika kwamba watatuma password kwenye email yangu nika cancel naona email badoUlivyotuma umepata ujumbe gani?
Utakuwa disqualified..Hv wadau kuna uwezekano wa kuomba Mara mbili kwa maeneo tofauti au ile namba ya nida na index namba ya form inakaba
Minimekiona Ila niliishia njiani mtandao ukazingua nilikua nataka niedit piaMm nili edit Jana ila Leo nilikuwa nataka edit kata Ina kataa nahic wameona ndio sehemu ya kupunguza watu
Hivi picha ni lazima iwe na rangi ya bluu upande wa nyuma??Mm nili edit Jana ila Leo nilikuwa nataka edit kata Ina kataa nahic wameona ndio sehemu ya kupunguza watu
Tangu jana haifanyi kazi kabisa ina andika page not found ...nchi hii imerogwa na nani jaman !!Kwenye Kijiji/mtaa hakuna uchaguzi na ukijaza inagoma kwenda fomu msaada kwa aliyekamilisha hapo amefanyaje? Maana kila sehemu unataka ujaze
Au labda hayajaenda uombe upya?Mimi nmefanikiwa Jana mpaka Leo sjaletewa username na password...nifanyaje wakuu?
Fungua kwa kutumia browser ya ChromeTangu jana haifanyi kazi kabisa ina andika page not found ...nchi hii imerogwa na nani jaman !!
Ukibonyeza hizo Arrows zitakupa chaguzi uchagueView attachment 2215112
Mm kwangu issue ipo hapa
Wakuu ni kweli huyu mtu anafanya hii kazi kwa uaminifu na kwa mda mfupi sanaTunatoa huduma ya msaada wa maombi kwa mtandao
Njoo stationary kwetu
+255 769 925 004
Sasa kama kujaza form inakushinda je hiyo kazi ya kujaza dodoso kwa kutumia simu utaiweza kweli?Wakuu ni kweli huyu mtu anafanya hii kazi kwa uaminifu na kwa mda mfupi sana