blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Viwe ktk mfumo wa PDF!!!Heb sadia hapa
Niki upload vyeti inakataa itakuwa shida ni nn
Inaandikia no file selected
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwe ktk mfumo wa PDF!!!Heb sadia hapa
Niki upload vyeti inakataa itakuwa shida ni nn
Inaandikia no file selected
Mi nimechoka kabisa ,nimeachana naoView attachment 2215112
Mm kwangu issue ipo hapa
Ndio ninayo tumia na badonoption ya jimbo, taraafa zote hazi leti option yoyoteFungua kwa kutumia browser ya Chrome
Ni kwa waliopo kijijini, slow internet, poor device.Sasa kama kujaza form inakushinda je hiyo kazi ya kujaza dodoso kwa kutumia simu utaiweza kweli?
Unaweza hii pdf
Hii ni awamu ya kulamba asali, kula kwa urefu wa kamba na kupapasaKumbe kuna watu wameshajaza na kutuma form no.1 kabla ya Tangazo halijatoka rasmin yaani week moja nyuma kabla serikali haijatangaza ajira.
Hii nchi kwa upigaji ni namba moja, siyo serikali siyo raia.
Ni vizur iwe blueHivi picha ni lazima iwe na rangi ya bluu upande wa nyuma??
Mwongozo haufunguki
Malipo sh ngapKWA MSAADA WA KUJAZA HADI KUIPATA FOMU NAMBA 1 TUPIGIE POPOTE ULIPO UTASAIDIWA
0769925004
form no1 unapakia peg gan?Unaweza Kuna kile kipengele Cha uhusinisha mm ndio Nili edit apo ila nimekuja kuchek Tena Ili ni edit Tena kinazingua nahic wamekiondoa ,roho mbaya sana Hawa
ni peg gani ktk form n1 inayopakiwa?Namba ya simu unaweza edit?