Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kumbe kuna watu wameshajaza na kutuma form no.1 kabla ya Tangazo halijatoka rasmin yaani week moja nyuma kabla serikali haijatangaza ajira.

Hii nchi kwa upigaji ni namba moja, siyo serikali siyo raia.
Hii ni awamu ya kulamba asali, kula kwa urefu wa kamba na kupapasa
 
KWA MSAADA WA KUJAZA HADI KUIPATA FOMU NAMBA 1 TUPIGIE POPOTE ULIPO UTASAIDIWA
0769925004
 
.
Screenshot_2022-05-07-14-53-46-55_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Ukishapakua fomu namba 1. Unaprint page zote? Mbon page ya mwisho kam ni maelekezo tuu
 
Unaweza Kuna kile kipengele Cha uhusinisha mm ndio Nili edit apo ila nimekuja kuchek Tena Ili ni edit Tena kinazingua nahic wamekiondoa ,roho mbaya sana Hawa
form no1 unapakia peg gan?
 
Hivi mwisho wa maombi ni tar 14 au 19 mwezi huu?,,maana naona tarehe mbili tofauti sijui deadline ya ukweli ni ipi
 
hawa watu bana, wanataka dole gumba wakati mdhamini yupo kilometer 1000 uko
 
Back
Top Bottom