Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kwenye system hakuna sehemu ya kujaza kazi au wadhifa wa mzamini Kuna majina matatu namba na email then form ukiidownload inaongezeka sehemu ya mkoa anakaa wilaya, kata na mataa na sehemu ya dole gumba hakuna sehemu ya wadhifa

NB: Kama unauwezo wa kuwapata hao wenye wadhifa watafute tu mkuu huwezi jua huenda wakaongeza ubora wa maombi Yako hahahahaha
Hapo kwenye dole gumba la mdhamin ni biometric au?
 
MFANO UPO MKOA A , ILA USAJILI WA NAMBA YA NIDA ULIFANYIA PINDI UPO MKOA B , JE HAPO HAHITALETA TATIZO KWENYE. UCHAKATUZU WA MAKAAZI YA MWOMBAI THEN UNATOLEWA ?
 
MFANO UPO MKOA A , ILA USAJILI WA NAMBA YA NIDA ULIFANYIA PINDI UPO MKOA B , JE HAPO HAHITALETA TATIZO KWENYE. UCHAKATUZU WA MAKAAZI YA MWOMBAI THEN UNATOLEWA ?
Sizani mkuu serikali inajua Kuwa vijana hatuna makazi ya kudumu Bado tunatafuta so ukiapply haikatai

NB: Kama ulipojiandikisha na nida ni karibu na unaweza kupamudu unaweza jaza taarifa za huko pia kwa uhakika zaidi
 
najua unatumia crome click hizo dot tatu hapo juu uweke katika mfumo wa desktop mode utaona hizo erros.
hapo inakwambia kuna vipengele hujajaza.
No results found.
 
Wanatumia muda gani kutuma password maana nimetuma maombi ila Bado email sijapata
 
Kipengele Cha wilaya, halimashauri, pamoja na Jimbo kwangu havionekani
Unakuwaje kwa wale mliofanikiwa
Msaada tafadhali
 
Wanatumia muda gani kutuma password maana nimetuma maombi ila Bado email sijapata
Nisaidie kwenye kipengele Cha kujaza wilaya, halimashauri, Jimbo na kata Mimi inaniandikia results not found
 
wadau leo kuna amabye amaefanikiwa kufungua sehemu ya kuattach signed form
 
Kalani wa sensa na msimamizi wa sensa nafasi Gani hapo itakua na uhitaji wa idadi kubwa ya watu naamanisha kuajiliwa msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom