mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,695
Mkuu ni 35k kwa siku ambayo utalipwa siku ukiwa kwenye Yale mafunzo ya siku 21 na sio hii 350k Kama ulivyoandika.Habari nilizopata kutoka vyanzo vinavyo aminika malipo ni 1.5M na posho ni 350k kwanzia kwenye semina had siku ya kazi kila siku ni 350k kwaajili ya kula,mavazi na malazi
Niwashamba sana hawajawahi kuwa na ustarabu ndio maana maendeleo yao huja uzeeni hawana utofauti na mipolisi sijui ni laana.Kwani walimu wamekukosea nini?
Duuh 35 ×21= 735 ongeza sifuri tatuMkuu ni 35k kwa siku ambayo utalipwa siku ukiwa kwenye Yale mafunzo ya siku 21 na sio hii 350k Kama ulivyoandika.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwahyo tuambie ndoto zako zilikuwa zinakwambia nini[emoji23][emoji23] mimi ndoto zangu huwa za kweli ninaota yatakayotokea mbele na yanatokea hivohivo
Walimu wametuharibia hii nchiYani kuna watu humu wanawashwa washwa wakivimbiwa tu kande wanakuja kutoa maushuzi yao humu..Hili zoezi ni la wazi hakuna janja janja mpaka taarifa rasmi itakapotoka ndio mengine huko katani na wilayani yataendelea,.
Ila sio mtu anatoka tu huko mara kuna watu wamepigiwa simu jana jioni mara kuna kikundi cha watu kimeanza semina leo asubuhi,mara kuna walimu Meru wameambiwa watume majina wilayani..Walimu tulizeni mshono mpaka NBS watoe taarifa rasmi acheni porojo kesho muwahi saa 11 asubuhi kuhesabisha namba na baridi hii,msiwape sonona ma jobless.
[emoji23][emoji16]Wanataka kuchukua nafasi yake ktk sensa
Haha poleNiwashamba sana hawajawahi kuwa na ustarabu ndio maana maendeleo yao huja uzeeni hawana utofauti na mipolisi sijui ni laana.
Mkuu acha uongo sema huna Taarifa Rasmi majina yatatokaje hapo na hapo uende kwenye mafunzo ya siku 21 kabla ya kufanyiwa usaili wa mtu na mtu ili kukutambua....????sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
😂😂😂😂😂mkuu unaota sensa!! 😳😳, dah kweli mtaani sio kuzuri.
Kwahyo tuambie ndoto zako zilikuwa zinakwambia
Zimenambia walimu wana nafas kubwa sana ktk hii ishuKwahyo tuambie ndoto zako zilikuwa zinakwambia nini
Bada ya kumsikia Mwigulu akijibi swali Bungeni la ni watu gani ambao wanakwenda kuwatumia kwenye Sensa akajibu ni walimu na baadhi ya wasomi waliopo kwenye kata nikajua kishaumana.Zimenambia walimu wana nafas kubwa sana ktk hii ishu
Kumbe bunge lipo linaendeleaBada ya kumsikia Mwigulu akijibi swali Bungeni la ni watu gani ambao wanakwenda kuwatumia kwenye Sensa akajibu ni walimu na baadhi ya wasomi waliopo kwenye kata nikajua kishaumana.
Alitoa jibu juzi ile anahitimisha hotuba ya wizara yake.Kumbe bunge lipo linaendelea
Amejibu leo ?
Binafsi hiki kiajirq changu, sina tamaa kabisa na hizi kazi ambazo graduate kibao wanaweza kufanya kwa ufanisi.Ndio wanaotumika mara nyingi kwenye kazi kama hizo..refer uchaguzi..halafu ni rahisi kuwapata ikitokea wakiharibu..sasa wewe tukikupa laki tano kabla then uende ukafanye kazi yetu si ajabu ukatokomea mazima..bado mna ujana sana..sio kwamba nawatetea walimu hapana!
Yatoke mapema tuelewe mbivu na mbichi mapema ,ili wengine kama tunakosa tuendelee kujichanganya na mambo mengineMkuu acha uongo sema huna Taarifa Rasmi majina yatatokaje hapo na hapo uende kwenye mafunzo ya siku 21 kabla ya kufanyiwa usaili wa mtu na mtu ili kukutambua....????
Mimi navyojua majina yatawahi kutoka nadhani mwezi huu ili watu wafanyiwe usaili kabla ya hiyo tarehe 15 uliyosema.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ohooooBada ya kumsikia Mwigulu akijibi swali Bungeni la ni watu gani ambao wanakwenda kuwatumia kwenye Sensa akajibu ni walimu na baadhi ya wasomi waliopo kwenye kata nikajua kishaumana.
Chai ya sehemu gani? Hotel au banda umiza?Tusitupane Wana Jf tulikuwa wote Ktk kipindi kigumu mkipata msisahau Wana hata hela ya chai tu.
Ukiwa unaishi buguruni mafunzo mnazi mmoja lunch na breakfast kwao. Ukiwekeza 200k kwa 21days faida yako ni 500k. Si mbayaDuuh 35 ×21= 735 ongeza sifuri tatu
Nikafungue zangu genge tu
Wapambane na hali zaoNa jobless nao wasemeje
Nao wameomba ila wapo cool tu, hawana mdomo mdomo kama maticha.Walimu wanaendekeza sana njaa, mbona watumishi wengine wamekausha tu??