Wacha weeMfumo haukuwa unaruhusu mtu kujisajili mara 2. This was due to the fact that, it was the same credentials which were used to apply.
Weka link tukuaminiWeweeeeee tayari MAJINA DAH THANKS GOD
Hamna kitu hapo...Weka link tukuamini
Ungeweka alama ya kiulizo kuondoa utata ,Mwal ndo kitu gani ?Nauliza mwal.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa pambafu kweli nilikuwa natumia Freebasic nikatoa kahela changu cha akiba kuweka bando nicheki mkeka fasta kumbe hola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Mkuu siku ukiona komenti yangu imesema majina tayari ujue tayari kweli na nitakuwa around [emoji3]Jamaa pambafu kweli nilikuwa natumia Freebasic nikatoa kahela changu cha akiba kuweka bando nicheki mkeka fasta kumbe hola [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Usitake kulisha watu matango poriMkuu siku ukiona komenti yangu imesema majina tayari ujue tayari kweli na nitakuwa around [emoji3]
Mimi sio mropokaji kama wewe majina yakitoka nitasema na nitatoa link kabisa mtandaoni nilipoyaoneaUsitake kulisha watu matango pori
Hela ya ticket ya ndege imenunua bando😅😅Jamaa pambafu kweli nilikuwa natumia Freebasic nikatoa kahela changu cha akiba kuweka bando nicheki mkeka fasta kumbe hola 😂😂😂😆
Kijana ameniharibia bajeti halafu anatarajiwa kupewa jukumu zito la kitaifa lakini ana mambo ya kitoto.Hela ya ticket ya ndege imenunua bandi😅😅
Mtakuja kuukumbukaHuu uzi bwana.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wajumbe hawana mishahara, wanaishi kwa issue kama hizi, migogoro, ardhi etc. Hadi kwenye postcode, wajumbe walipewa nafasi za upendeleoKumbe wajumbe mnakodolea izo position ? Aisee the Almighty God stands before Us
Mimi alinichukia kisa mwanamkeTuliokua na bifu na watendaji wa vijiji na tumeomba nafasi za ukarani na usimamizi na tunaamini tutapata nafasi maana hii nchi ni yetu sote tujuane tafadhali [emoji23][emoji23] [emoji121]
Acha roho mbaya na wewe mzeehalijui mama ako..Basi itakua una matatizo ya akili kama ulidhani pesa yote iliyotengwa b 600 ni kwa ajili ya kulipa makarani na wasimamizi pekee bila kuhusisha shughuli zingine zinazohusu sensa.Yani miwalimu ya nchi hii imejaa shida na roho mbaya hasa zinapotokea nafasi kama hizi ambazo vijana wasakatonge wanazihitaji ili wajikwamue kimaisha..
Usiwe unakurupuka kujibu quote ya mtu bila kuelewa amemaanisha nini.Nyie ndio wale mnaoanzisha nyuzi humu mfululizo kutaka ajira za muda za makarani na wasimamizi mpewe walimu pekee bila kuwafikiria vijana waliokaa mtaa miaka zaidi ya 10 wakisubiri ajira na hawana pesa ya mtaji,acheni roho mbaya hii nchi ni yetu sote
HahahhaWanataka kuchukua nafasi yake ktk sensa