Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

😀😀😀 Hizo zote ulizotaja wala hazikumgusa mwananchi moja kwa moja.

Ila hili la sensa mpaka dogo wa form four atajua bro kakosa nafasi ya sensa kwasababu 1, 2, 3.

Kwahiyo hiyo figisu na huo upuuzi wa kujikosesha kura kimakusidi hawawezi ufanya ndgu yangu, serikali inaweza kua sio makini ila sio kwa kiwango hicho cha mawazo yako.
 
Bao la mkono tayari
 
Majobless wenzangu Mwenye kujua njisi ya kubadilisha jina langu hapa JF hili jina nataka nilibadilishe maana sipati mademu kutokana jina langu
 
Majobless wenzangu Mwenye kujua njisi ya kubadilisha jina langu hapa JF hili jina nataka nilibadilishe maana sipati mademu kutokana jina langu
Dogo nenda Fb humu hakuna watoto wenzako utakuja kupata msongo wa mawazo bure . Cha
La pili Jf si sehemu ya kutafuta mademu na mademu wa humu na ma great thinker njia rahisi ya kuwapata sio jina bali ni michango yako humu na jinsi unavyo behave .
 
Majobless wenzangu Mwenye kujua njisi ya kubadilisha jina langu hapa JF hili jina nataka nilibadilishe maana sipati mademu kutokana jina langu
Huku hakuna madem wadada wengi humu ni 30+

Nenda face book huko utajizolea
 
Watu wanawaza hela huku wewe unaleta mambo ya mademu...
Usiseme unawaza hela sema unawaza ajira nyie ndio mnaokuja kufeli katika maisha kila siku akili zenu zimedepend kwenye kuajiliwa na nawaombea mkose hivi viajira vya ualimu na sensa ili akili ziwaingie #joke Hivi wakuu majina ya sensa yanatoka lini?
 
Tabularasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…