Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kama billions 350 za escrow zilipigwa, pesa za rada zaidi ya billion 100, pesa za Richmond zaidi ya billion 250, kigoda meremeta na EPA zaidi ya billion 400, trillion 1.5 zilipigwa na magufuli itakuwaje hiki kisensa zisifanyike hujuma, swala la utu, uzalendo, huruma aibu na staha unazo wewe tu sio hawa viongozi wetu, wanaroho ya nyoka tena mwenye sumu kali, period
😀😀😀 Hizo zote ulizotaja wala hazikumgusa mwananchi moja kwa moja.

Ila hili la sensa mpaka dogo wa form four atajua bro kakosa nafasi ya sensa kwasababu 1, 2, 3.

Kwahiyo hiyo figisu na huo upuuzi wa kujikosesha kura kimakusidi hawawezi ufanya ndgu yangu, serikali inaweza kua sio makini ila sio kwa kiwango hicho cha mawazo yako.
 
Taarifa inasema makarani wote wamepatiwa mafunzo,hii nchi ngumu sana.
NBS toeni ufafanuzi hapa #SOURCE AZAMTV[emoji116]

SENSA YA 2022 KUFANYIKA KIDIGITALI ZAIDI

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema kwa mara ya kwanza tangu #Tanzania ipate uhuru, sughuli ya sensa ya watu na makazi mwaka huu itaingiza maeneo ya vitongoji vyote nchini katika mfumo wa kidigitali na hivyo kurahisisha kazi ya kukusanya takwimu husika kwa njia rahisi na ya haraka zaidi.

Akizungumza na Jukwaa la Wahariri mkoani Morogoro, Mkuu wa Mifumo ya Ukusanyaji wa Taarifa za Kijiografia (GIS) na Kaimu Meneja wa shughuli za Kitakwimu, Benedict Mgambi amesema, sensa ya mwaka huu inayotarajiwa kufanyika Agosti 23-29 itakuwa ya kidigitali na ufanisi zaidi katika ukusanyaji wa taarifa tofauti na miaka iliyopita.

Alifafanua kuwa hilo litawezekana kwasababu makarani wote wamepatiwa mafunzo ya kutosha ya kutumia vishikwambi vyenye mifumo ya kidigitali kwa lengo la kupeleka taarifa moja kwa moja kwenye kanzidata ya NBS makao makuu pamoja na uwepo wa mfumo wa kuwafuatilia makarani wote popote walipo.

Tangu kuanza kwa shughuli ya sensa mwaka 1967 hadi 2012, sensa ya mwaka huu itakuwa ya kipekee na itahusisha idadi ndogo ya makarani kwasababu ya uboreshwaji wa miundombinu ya ufanyaji kazi.

Sensa mwaka ya mwaka hu, Tanzania inatarajiwa kuwa na watu milioni 61.3, wakati sensa ya kwanza mwaka 1967, Tanzania ilikuwa na watu milioni 12.3, mwaka 1978 ilikuwa na watu milioni 17.5, mwaka 1988 ilikuwa na watu milioni 23.1 na mwaka 2012 ilikuwa na watu milioni 44.9.

#AzamTVUpdates #AzamNews #Sesa2022View attachment 2265675
Bao la mkono tayari
 
Majobless wenzangu Mwenye kujua njisi ya kubadilisha jina langu hapa JF hili jina nataka nilibadilishe maana sipati mademu kutokana jina langu
 
Majobless wenzangu Mwenye kujua njisi ya kubadilisha jina langu hapa JF hili jina nataka nilibadilishe maana sipati mademu kutokana jina langu
Dogo nenda Fb humu hakuna watoto wenzako utakuja kupata msongo wa mawazo bure . Cha
La pili Jf si sehemu ya kutafuta mademu na mademu wa humu na ma great thinker njia rahisi ya kuwapata sio jina bali ni michango yako humu na jinsi unavyo behave .
 
Majobless wenzangu Mwenye kujua njisi ya kubadilisha jina langu hapa JF hili jina nataka nilibadilishe maana sipati mademu kutokana jina langu
Huku hakuna madem wadada wengi humu ni 30+

Nenda face book huko utajizolea
 
Watu wanawaza hela huku wewe unaleta mambo ya mademu...
Usiseme unawaza hela sema unawaza ajira nyie ndio mnaokuja kufeli katika maisha kila siku akili zenu zimedepend kwenye kuajiliwa na nawaombea mkose hivi viajira vya ualimu na sensa ili akili ziwaingie #joke Hivi wakuu majina ya sensa yanatoka lini?
 
Hizi Ramli ambazo hamna uhakika nazo humu ndani tulishazikataa
Wewe huna ratiba
JamiiForums164797623.jpg
 
Back
Top Bottom