Sorry mwanaDaah nishachoka kichizi unakuta notification nyingi kumbe mwamba yule logan007 na mdogo wake kwibonelwa wanaanza kushtua watu na pumba zao
Siku imeisha nbs hawa wanatufanya mazezeta isee Kunguru wa Manzese we najua unaconnection tuambie ukweli majina yanatoka lini?Daah nishachoka kichizi unakuta notification nyingi kumbe mwamba yule logan007 na mdogo wake kwibonelwa wanaanza kushtua watu na pumba zao
Kunguru ana koneksheni kubwa sana mpk anuani za makazi alipata bila kipingamizi hapa anatuchora tu na kumbe yupo levo nyingine 😆😆😆Siku imeisha nbs hawa wanatufanya mazezeta isee Kunguru wa Manzese we najua unaconnection tuambie ukweli majina yanatoka lini?
HaHaha kipindi kile ilikuwa sio poa Tuombeane Kaka sahiv nasubiri mkeka wa magereza usaili nishafanyaAmen amen
Nilisahau tu tulikua wote kwenye zimamoto,nadhani uhamiaji na magereza
Hahahahaha
Nahisi usaili wa kazi za upande wa pili ungekuwa wa wazi wazi tungekutana pia
Hizo connection natoa wapi mi ungaunga mwana waulize wanangu wa uzi wa majeshi kule watakwambia [emoji1787][emoji1787]Kunguru ana koneksheni kubwa sana mpk anuani za makazi alipata bila kipingamizi hapa anatuchora tu na kumbe yupo levo nyingine [emoji38][emoji38][emoji38]
Mi Mwenyewe sijui kaka ako logan007 anatulisha matangopori [emoji1787][emoji1787]Siku imeisha nbs hawa wanatufanya mazezeta isee Kunguru wa Manzese we najua unaconnection tuambie ukweli majina yanatoka lini?
Aaah!! babuu ni mwendo wa kumwagilia moyo hustawiMkipata dili la sensa msisahau kujibless maisha yenyewe mafupi haya [emoji3] ila msimuige Mac muga
We jamaa kichwani zimo kweli?[emoji3][emoji3] nishajua we ni mlongo ama msumbwa mwenzangu natoa pointless ili tuzidi kuchangamsha hii thread
[emoji23]Nikiapata pesa ya sensa yote nampa man city winnnnnnnn
Majina yanakuja kwa kishindo utashangaa siku unaona notification 100 hata kabla hujaona kwenye timeline tayari uzi wake ushaanzishwa sahivi huku ni uongoDah notification nyiiingi nikajua kuna lolote kumbe Chenga[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ukiwa nazo wewe inatosha mkuu[emoji3][emoji3] sio lazima wote tuwe nazoWe jamaa kichwani zimo kweli?
Ina maana ile ratiba ya sensa iliyokuwa inasema tarehe 20 mpaka 23 wanatangaza majina ilikuwa nifake nashidwa kuelewa ikifika kesho majina hayajatangazwa hamtaniona tena kwenye thread yenuMajina yanakuja kwa kishindo utashangaa siku unaona notification 100 hata kabla hujaona kwenye timeline tayari uzi wake ushaanzishwa sahivi huku ni uongo
Ilikuwa nyuma ile baada ya kuongeza deadline haikuwa fakeIna maana ile ratiba ya sensa iliyokuwa inasema tarehe 20 mpaka 23 wanatangaza majina ilikuwa nifake nashidwa kuelewa ikifika kesho majina hayajatangazwa hamtaniona tena kwenye thread yenu
Hakika naweza kwenda na wewe vitaniNikiapata pesa ya sensa yote nampa man city winnnnnnnn