Unatoa taarifa au unauliuza swali ?Hapatakua naa usali majina yatatoka moja kwa moja
Eleza kwa kina jinsi gani tunaweza kukuamini. Kwani wale maafisa wanaohusika na usaili tulioambiwa kwamba wako mafunzoni kwani wanafunzwa ili iweje.Hapatakua naa usali majina yatatoka moja kwa moja
Inatosha hata kama itakua laki tanoIla watu mna njaa, hela hta million 1 haifiki lakini mnavyoiwaza, ebu tujishulishe ndugu zangu
Aliyekwambia haifiki ni nani?Ila watu mna njaa, hela hta million 1 haifiki lakini mnavyoiwaza, ebu tujishulishe ndugu zangu
Sio tano hata kama ni mbili ni kipato piaInatosha hata kama itakua laki tano
Hahaha vijana mnawaza kubetia hela ikiliwa je ??Nikiapata pesa ya sensa yote nampa man city winnnnnnnn
Sisi tumeridhika nayo mkuuIla watu mna njaa, hela hta million 1 haifiki lakini mnavyoiwaza, ebu tujishulishe ndugu zangu
Mkuu kutuma maombi ya kazi ni moja ya kujishughulishaIla watu mna njaa, hela hta million 1 haifiki lakini mnavyoiwaza, ebu tujishulishe ndugu zangu
Man city anaazaje kufungwa mbele ya HalaandHahaha vijana mnawaza kubetia hela ikiliwa je ??
Huna nyumba, huna gari afu unaona hela ni ndogo! Akili zinakutosha?Ila watu mna njaa, hela hta million 1 haifiki lakini mnavyoiwaza, ebu tujishulishe ndugu zangu
Tujishulishe =TujishughulisheIla watu mna njaa, hela hta million 1 haifiki lakini mnavyoiwaza, ebu tujishulishe ndugu zangu
We unaona tumacheza etIla watu mna njaa, hela hta million 1 haifiki lakini mnavyoiwaza, ebu tujishulishe ndugu zangu
Ndo mpka ujikute umo sasaKama majina yamechelewa hivi kuna hatari interview isiwepo ikawa moja kwa moja semina
tunaogopa interview halafu tukajikuta kwenye mkeka watakuwa wametu favour