Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

5B906974-0E90-4151-BB26-A862BCA33A8A.jpeg
 
Kuna Dogo kitaa anaunganisha Gb 5.5 za Tigo kwa elfu 12. Ukipenda njoo whatsapp umuungishe
Ipo bei ghali , halotel Vifurushi vya kawaida kwa buku teni unapata Gb 6 kutumia mwezi na buku 10 unapata 5 na chenga plus madakika na Sms.
 
Mkuu nipe jina la VPN inayobamba kitaani kwa sasa
Huko telegram nilipewa code ya wadau wa Free internet na Vpn Tz kuna nimekuta kuna members zaidi ya buku mianne Kazi kuombana free Vpn na kupeana michongo ya kuperuzi kea gharama nafuu , nikasikitika sana jinsi hali ilivyokuwa ngumu nchini na watu wanavyopambania kutafuta unafuu

Mimi nina Vpn mbili za kunisaidia gugo na wasap wakati wa emergency nikiwa nimepigika ila zipo slow kukonect kwa mbinde wakati fulani sio kama zile Sky Vpn na Ec Tunnel ambazo nilikuwa napeta nazo mpk Insta na YouTube bila kukwamakwama.
 
Yachelewe tu kutoka maana kuna wasaka tonge wenzetu wapo makoleji huko wanapambania kudufua mitihani yao na wengi wameomba makwao so yaktoka leo kwa wale wa mbali itakuwa imekula kwao,bora Yachelewe yachelewe mapka UE iishe......
 
Ona hii akili.
Yakitoka kwani ndio ya kazi imeanza?
 
Yachelewe tu kutoka maana kuna wasaka tonge wenzetu wapo makoleji huko wanapambania kudufua mitihani yao na wengi wameomba makwao so yaktoka leo kwa wale wa mbali itakuwa imekula kwao,bora Yachelewe yachelewe mapka UE iishe......
Field mnaendaga mwezi wa saba bado Hapo hapo utatakiwa udhurie semina za sensa kuwa makini kijana usije kosa vyote
 
Huko telegram nilipewa code ya wadau wa Free internet na Vpn Tz kuna nimekuta kuna members zaidi ya buku mianne Kazi kuombana free Vpn na kupeana michongo ya kuperuzi kea gharama nafuu , nikasikitika sana jinsi hali ilivyokuwa ngumu nchini na watu wanavyopambania kutafuta unafuu

Mimi nina Vpn mbili za kunisaidia gugo na wasap wakati wa emergency nikiwa nimepigika ila zipo slow kukonect kwa mbinde wakati fulani sio kama zile Sky Vpn na Ec Tunnel ambazo nilikuwa napeta nazo mpk Insta na YouTube bila kukwamakwama.
Mkuu msomali tupe hzo connection tuperuzi bure
 
Mwenyewe Ile sky VPN niliinjii sana Ila ndo hvyo wametubania.. nitumie basi majina ya hzo VPN unazotumia kwa emergency.. sema vifurushi bmbei juu na hz Simu za forG.. Bora hela yangu niwekeze kula supu ya kuku
 
Kuna hii Wire Turn kwa wanaotumia Tccl unapeta mpk YouTube , Insta mpk kudownload muvi mzigo unaweza piga mpk 2gb ila mtu wa Tigo kama mimi unaweza kutumia kwa mbinde wasap

Ya pili ninayotumia ni Thunderstorm Vpn kwa Halotel ila inaufanisi zaidi mida ya usiku wakati wa mchana muda mwingine inaweza kuwa umeiconnect ila kupata notifications za wasap inaweza kuchukua hata dkk 2 hapo ikikubali ndo unaweza kupeta .
 
Mkuu natumia ttcl embu nipe abcd za wire turn nifanye yangu
 
Kuna hii Wire Turn kwa wanaotumia Tccl unapeta mpk YouTube , Insta mpk kudownload muvi mzigo unaweza piga mpk 2gb ila mtu wa Tigo kama mimi unaweza kutumia kwa mbinde wasap

Ya pili ninayotumia ni Thunderstorm Vpn kwa Halotel ila inaufanisi zaidi mida ya usiku wakati wa mchana muda mwingine inaweza kuwa umeiconnect ila kupata notifications za wasap inaweza kuchukua hata dkk 2 hapo ikikubali ndo unaweza kupeta .
Ubarikiwe sana Mkuu ๐Ÿ™๐Ÿ™ Kuna watu hata VPN wanaona uroho ku-expose.. hii Dunia Ina watu Wana mambo za ajabu sana dadeQ.. Naamini wenzangu na mie watafaidika pia..Huku tunasubiria kazi za Sensa tupate hela za bando๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mwenyewe Ile sky VPN niliinjii sana Ila ndo hvyo wametubania.. nitumie basi majina ya hzo VPN unazotumia kwa emergency.. sema vifurushi bmbei juu na hz Simu za forG.. Bora hela yangu niwekeze kula supu ya kuku
Kweli kabisa , kuna sehemu mtaani kuna supu ya kongoro safi kwa buku jero unakula unaenyoj sasa kila nikitaka kujiunga 1500/= nikifikiria napata Mb 900 naona bora nikajenge mwili kwanza Jf na wasap nitaenda , Gugo, Wikipedia, Bbc nitapata kupitia Vitonga. Com kwanza YouTube na Insta umbea mwingi hakuna umuhimu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†
 
Ufisadi unanzia kwenye laini za simu

Yaani wewe huko utumishi utaenda wanyonya damu [emoji1787]
Sasa mkuu kama hao wenyewe makada na wanaojiita wazalendo bado wanaiba Kodi za watanzania ukipata nafasi wewe mwenzangu usiye hata na Chama ndo utashindwa kuchovya asali kidogo..?
Asikwambie mtu mkuu Serikalini watu wote wanafuata asali tu hakuna uzalendo.. kama ni uzalendo basi wajitolee kufanya kazi bila mishahara na posho ili pesa tuzitumie kujengea miundombinu ya kimaendelea
 
Back
Top Bottom