euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Mkuu uko jkon ulipo wanasema majina yanatoka lini?Ndugu zangu, atakae bahatika kupata nafasi itamfungulia milango, sitaki kwenda deep ila niwaambie... POSHO NI MLIMA..plus kuna certificates mtapata kama recognition utaweza tumia sehem mbalimbali.. Goodluck to you guys..