Dorome
JF-Expert Member
- Nov 11, 2021
- 397
- 746
[emoji3][emoji3]Leo mmeususa uzi wetu pendwa, najua jumanne mtakuja hapa kulalamika [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Leo mmeususa uzi wetu pendwa, najua jumanne mtakuja hapa kulalamika [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787]Leo mmeususa uzi wetu pendwa, najua jumanne mtakuja hapa kulalamika [emoji3][emoji3]
Ramli nyengine tena chonganishi [emoji3]Leo mmeususa uzi wetu pendwa, najua jumanne mtakuja hapa kulalamika [emoji3][emoji3]
Waganga wa jf hawana faida kabisa. ..Ramli nyengine tena chonganishi [emoji3]
Waganga matapeli wamejaa sanaWaganga wa jf hawana faida kabisa. ..
Kabla ya kuliona Jf jina lako nimewahi kuona Youtube na nilikuwa nafuatilia sana channel yako.Waganga wa jf hawana faida kabisa. ..
Shukran, kitambo sana nimeshaitelekeza. Ila nitairudia mambo yakinyooka tena.Kabla ya kuliona Jf jina lako nimewahi kuona Youtube na nilikuwa nafuatilia sana channel yako.
Unakuta kuna mwamba anapigwa tamisemi za uso na NBS za usoTamisemi washatoa kilio kwa wenzetu ngoja na sisi tusubirie nbs watupe kichapo
Ni mbaya sana , laziama mtu utajihisi hauna bahati kabisa .Unakuta kuna mwamba anapigwa tamisemi za uso na NBS za uso
Voda au halotel vipiKuna Dogo kitaa anaunganisha Gb 5.5 za Tigo kwa elfu 12 unatumia mwaka mzima, kila baada ya wiki 2 unapewa gb 5.5
Ukipenda njoo whatsapp umuungishe
Safari hii NBS watapiga chini ya mkanda,Unakuta kuna mwamba anapigwa tamisemi za uso na NBS za uso
Wewe umeamua kupiga ramli ya mbali kabisa. 😀😀😀😀Tar 10 haitavuka inshallah...!
Umefeli kakaNimechunguza mkuu ni sikio ndio tundu dogo kuliko vyote mwilini ikifuatiwa na pua
Mtapigwa za uso hamtoamini[emoji2][emoji1787]Tar 10 haitavuka inshallah...!
Na mimi nipe hii connection, acheni uchoyoUkiipata na mimi nisogezee mazingira Pm ,unatumia mtandao gani ?
Kiongozi tupe ujuzi huo basiHivi kuna watu wanatumiaga mb za kununua mpk serekali hii Mimi mara ya mwisho niliishiaga awamu ya kwanza ya magu
Laki 5 ndio walikamlisha maombi ndugu.Mtapigwa za uso hamtoamini[emoji2][emoji1787]
Ajira za juzi kuna madogo kitaa wana hali mbaya tuko nao karibu tunawapa faraja.[emoji2]
Watu milioni wameomba nafasi 200k probability ya kupata ni 0.2 au 20%.
Nakushauri tu kafanye mambo yako usijipe sana matumaini.
Ikija haya ,isipokuja poa tu maisha lazima yaendelee!!